Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profileg
Mwemezi Rwiza, PhD

@SwahiliBible

I teach and do research at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST), TZ. Science author (https://t.co/ugYmynyQkh…)

ID:65426411

linkhttps://www.nm-aist.ac.tz calendar_today13-08-2009 18:11:56

47,2K Tweet

79,3K Takipçi

1,7K Takip Edilen

Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

SABATO iliumbwa kwa ajili ya mwanadamu. Mwanadamu hakuumbwa kwa ajili ya Sabato. Ukumbuke kuwa na mapumziko huku ukiukumbuka wema wa Mungu na kumshukuru.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

KUNA watu wako kwenye leadership space, ukiwaangalia unagundua walikosa upendo wa mama walipokuwa wadogo. Ukifuatilia unakuta kweli. 🤔

The Mother's Warmth.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

MARA nyingi shetani anaposhambulia mahusiano, utaanza kuona ubaya wa mwenzako badala ya kuuona uovu wa ibilisi. Akimweza mmoja kati yenu, imeisha hiyo. Atavuruga mawasiliano awatende kwa hila.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

NDOA ni mlango mkubwa sana wa baraka za kifamilia. Ndiyo maana shetani na wajumbe wake huzipinga sana ndoa. The moment umeingia kwenye ndoa, tambua kwamba umetangaza vita dhidi ya ibilisi mlaaniwa na jeshi lake. Stand your ground for the Lord.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

Watu hutukuza high life, lakini low life ina faida nyingi kuliko high life

China hadi leo siyo first world world country

Kuna faida

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

Let me guess, Nyota ya Venus kuna vitu fulani labda alikuwa mzito kukubaliana navyo kutokana na background yake ya diaspora.

I am just guessing!

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

HUWEZI kuamini, lakini chura huyu 'mrembo' ndiye chura anayejulikana kuwa na sumu kali kuliko amfibia wote. Ni mdogo, lakini sumu yake ina uwezo wa kuua watu 10.

Unaweza ku-Google: Golden Poison Dart Frog. 😐

HUWEZI kuamini, lakini chura huyu 'mrembo' ndiye chura anayejulikana kuwa na sumu kali kuliko amfibia wote. Ni mdogo, lakini sumu yake ina uwezo wa kuua watu 10. Unaweza ku-Google: Golden Poison Dart Frog. 😐
account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

KAMA kiredio kidogo kisicho na mdundo mkubwa hakikuwahi kukupa furaha, hata siku ukimiliki sound system ya mamilioni haitakaa ikupe furaha. Furaha ni wewe, siyo vitu.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

MUNGU wetu ni Kamanda mwema wa maisha ya kila amwaminiye. Anatoa amri ya nini kifanyike huku akitusaidia kufanya hicho anachotaka tufanye. Sisi letu ni kutii tu. Yeye aliye Upendo na Hekima.

account_circle
Togolani Mavura(@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Diplomasia ya Kiswahili.

Katika kukitangaza na kukuza lugha ya Kiswahili, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ametumia lugha ya Kiswahili katika mazungumzo kwenye mikutano yake yote ya kikazi nchini Korea, isipokuwa hotuba zake kwenye mikutano mitatu ya Summit ambayo haikuwa na

Diplomasia ya Kiswahili. Katika kukitangaza na kukuza lugha ya Kiswahili, Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia ametumia lugha ya Kiswahili katika mazungumzo kwenye mikutano yake yote ya kikazi nchini Korea, isipokuwa hotuba zake kwenye mikutano mitatu ya Summit ambayo haikuwa na
account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

Man, hii nimeipa 9.5/10 na ni kwa sababu mimi ni mwalimu na hatuna kawaida ya kupasisha watu kwa 100%. Lyrically speaking, 10/10.

You go, Roma!

account_circle