shady (@wemashady12) 's Twitter Profile
shady

@wemashady12

ID: 1797926358242217984

calendar_today04-06-2024 09:40:40

68 Tweet

63 Followers

89 Following

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Kwenye mambo yanayohusu SHERIA, ninao WAJIBU wa kumshauri Mheshimiwa Rais ⁦Samia Suluhu⁩, kwa UAMINIFU na BILA KUJIPENDEKEZA. Kwenye UTEUZI wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), ndugu HAMZA JOHARI, kwa mujibu wa ibara ya 59(2) ya KATIBA ya Tanzania, HANA SIFA na HAFAI.

Kwenye mambo yanayohusu SHERIA, ninao WAJIBU wa kumshauri Mheshimiwa Rais ⁦Samia Suluhu⁩, kwa UAMINIFU na BILA KUJIPENDEKEZA. Kwenye UTEUZI wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), ndugu HAMZA JOHARI, kwa mujibu wa ibara ya 59(2) ya KATIBA ya Tanzania, HANA SIFA na HAFAI.
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Inaumiza kama wananchi kuona mama yako anauza rasilimali za nchi wa Waarabu. Inaumiza kuona mama yako anavyowanyanyasa wamasai ili auze ardhi yao kwa Waarabu. Inaumiza kama wananchi kuona jinsi mama yako anawanyanyasa viongozi wa upinzani na huku aliingia madarakani kwa gia za

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Tukiongeza UMOJA WETU KIDOGO, ndugu yetu DEUSDEDITH SOKA na wenzake watakua HURU MAPEMA SANA. Tusiwasahau hawa WAPENDA HAKI. Tuendelee KUWAPAMBANIA.

Tukiongeza UMOJA WETU KIDOGO, ndugu yetu DEUSDEDITH SOKA na wenzake watakua HURU MAPEMA SANA. Tusiwasahau hawa WAPENDA HAKI. Tuendelee KUWAPAMBANIA.
Polycarp The Bibliophile (@mdemupolycarp) 's Twitter Profile Photo

PICHANI NDIO MERCEDES BENZ YA KWANZA KABISA DUNIANI Iliitwa Benz Patent-Motorwagen, Iliundwa mwaka 1885, Hii ndio ilikua Gari ya Kwanza Duniani kutumia Petrol Engine , Engine yake ilikua na Cylinder 1 tu, Tank likiwa na capacity ya 1 Liter. THREAD 🧵

PICHANI NDIO MERCEDES BENZ YA KWANZA KABISA DUNIANI

Iliitwa Benz Patent-Motorwagen, Iliundwa mwaka 1885, Hii ndio ilikua Gari ya Kwanza Duniani kutumia Petrol Engine , Engine yake ilikua na Cylinder 1 tu, Tank likiwa na capacity ya 1 Liter.

THREAD 🧵
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Nimeona Spika amezuia Bunge kujadili matukio ya utekaji, mauaji na watu kupotezwa. Ningeshangaa Spika mwenye uwezo mdogo ktk historia ya Bunge kuguswa na matukio hayo. That is her best genre - an idiot with a PhD.

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Wakati Rais Samia Suluhu amelala na mume wake leo usingizi mwororo, mama Ally Kibao hajalala akiomboleza msiba wa mumewe baada ya kuporwa uhai wake na watawala. Wakati Abdul na dada yake wanaendelea kufurahia uwepo wa baba yao, watoto wa Ally Kibao hawatokaa wamwone tena baba

Wakati Rais Samia Suluhu amelala na mume wake leo usingizi mwororo, mama Ally Kibao hajalala akiomboleza msiba wa mumewe baada ya kuporwa uhai wake na watawala.

Wakati Abdul na dada yake wanaendelea kufurahia uwepo wa baba yao, watoto wa Ally Kibao hawatokaa wamwone tena baba
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️WANAFIKI MNATIA HASIRA SANA‼️ Tupo zaidi ya mwezi tunapaza sauti wenzetu wametekwa mnapita bila hata kuREPOST achilia kauli Mmeona MAUAJI ya Mzee Ali Kibao ime trend duniani na mnaulizwa "what is going on?" hadi Samia Suluhu kaona atoe kauli ya kinafiki - sasa mnakuja kutoa

‼️WANAFIKI MNATIA HASIRA SANA‼️
Tupo zaidi ya mwezi tunapaza sauti wenzetu wametekwa mnapita bila hata kuREPOST achilia kauli
Mmeona MAUAJI ya Mzee Ali Kibao ime trend duniani na mnaulizwa "what is going on?" hadi Samia Suluhu kaona atoe kauli ya kinafiki - sasa mnakuja kutoa
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🤬🤬 WAPENDWA ELEWENI! Mtu ambaye jana siku nzima alikaa kimya wakati tuliambiwa Mzee Ali Kibao ameuwawa hadi tweet kutoka Mkizimkazi alafu leo analalama na kumlilia Mzee Ali na hasemi #FreeDeusdedithSoka, #FreeDionis #FreeChaula - mpuuzeni! Anatafuta kuonekana tu! Tusikatishane

WAPENDWA ELEWENI!
Mtu ambaye jana siku nzima alikaa kimya wakati tuliambiwa Mzee Ali Kibao ameuwawa hadi tweet kutoka Mkizimkazi alafu leo analalama na kumlilia Mzee Ali na hasemi #FreeDeusdedithSoka, #FreeDionis #FreeChaula - mpuuzeni! Anatafuta kuonekana tu! Tusikatishane
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Nilipokamatwa na Police Force TZ nyumbani kwangu Moshi na kufikishwa Ofisi za RCO-K'njaro nilipigwa sana nikapoteza faham kuzinduka nipo Lockup. OCS wa kituo alipopita alinionea huruma na kuagiza nikatibiwe kwanza ingawa hawakunipeleka hospital. Kila nikikumbuka namuombea DEUSDEDITH SOKA

Nilipokamatwa na Police Force TZ nyumbani kwangu Moshi na kufikishwa Ofisi za RCO-K'njaro nilipigwa sana nikapoteza faham kuzinduka nipo Lockup. OCS wa kituo alipopita alinionea huruma na kuagiza nikatibiwe kwanza ingawa hawakunipeleka hospital. Kila nikikumbuka namuombea DEUSDEDITH SOKA
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️HUMAN RIGHTS LAWYER TITO MAGOTI ‼️ Tito was abducted then arbitrarily detained - he says he died once then so now they cannot kill him again 😭😭 His life is threatened but he pushes on! Chama Cha Mapinduzi is ready to keep power at the expense of the lives of millions if need be

‼️HUMAN RIGHTS LAWYER TITO MAGOTI ‼️
Tito was abducted then arbitrarily detained - he says he died once then so now they cannot kill him again

His life is threatened but he pushes on!
Chama Cha Mapinduzi is ready to keep power at the expense of the lives of millions if need be
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Leo Ni Siku Ya 28 Mchizi Wangu #Deus Hatujui Uko Wapi, Hatujui Uko Hai Au Haupo, Hatujui Unapitia Mateso Kiasi Gani Muda Huu!! Nimewahi Kutekwa Siku 3, Nikikumbuka Mateso Tuliyopitia Ndani Ya Hizo Siku 3, Na-imagine Hizi Siku 28 Utakuwa Kwenye Hali Gani!! Familia Yako Inapitia

Leo Ni Siku Ya 28 Mchizi Wangu #Deus Hatujui Uko Wapi, Hatujui Uko Hai Au Haupo, Hatujui Unapitia Mateso Kiasi Gani Muda Huu!!

Nimewahi Kutekwa Siku 3, Nikikumbuka Mateso Tuliyopitia Ndani Ya Hizo Siku 3, Na-imagine Hizi Siku 28 Utakuwa Kwenye Hali Gani!!

Familia Yako Inapitia
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Just like in apartheid South Africa, in #Tanzania we have second class citizens however we are not divided by race but party affiliation Only CCM and its members plus praise singers have rights Opposition and critics are subject to abduction, illegal detention, police brutality,

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Samia hana tofauti na Magufuli, actually unaweza kusema Samia ni more dangerous than Magufuli, why? Magufuli was an open book, what you saw is what you got! Hakujaribu kuficha ukatili wake which means ilikuwa ni rahisi zaidi kudili na Magufuli ila Samia is a sneaky evil person,

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu nafungua website ya kukomboa taifa…. . Nafungua website maana siku hizi sina raha, nachamba serikali kwa wasiwasi na kwa adabu sababu natumia mitandao ya watu anytime naweza kufungiwa account. Kwenye website hakuna wakunifungia bosi ni mimi mwenyewe… . Sasa cha