Wizara ya Afya Tanzania πΉπΏ
@wizara_afyatz
Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA
ID:3044753523
http://www.moh.go.tz 19-02-2015 04:54:19
6,0K Tweets
232,8K Followers
135 Following
Follow People
10. Kusimamia Tafiti na matumizi ya matokeo ya tafiti mbalimbali za afya.
#tunaboreshaafya
Ummy Mwalimu, MP
9. Kuimarisha huduma za Afya ya Akili, huduma za utengamao na Tiba Shufaa hususan kwa Watoto, Wazee na Wenye Ulemavu.
#tunaboreshaafya
Ummy Mwalimu, MP
8. Kuimarisha udhibiti wa Magoniwa ya Kuambukiza, Magonjwa Yasiyoambukiza, Magonjwa ya Mlipuko na Huduma za Afya za Dharura.
#tunaboreshaafya
Ummy Mwalimu, MP
7. Kuendeleza na kusimamia afua za Tiba Asili na Tiba Mbadala ikiwemo kuongeza Hospitali zinazotoa huduma jumuishi za Tiba Asili.
#tunaboreshaafya
Ummy Mwalimu, MP
5. Kuimarisha upatikanaji wa wataalam katika Sekta ya Afya za ubingwa na ubingwa bobezi, kutoa ufadhili wa mafunzo ndani na nie ya chi pamoja na Kuanzisha kozi mpya ili kukidhi mahitaji.
#tunaboreshaafya
Ummy Mwalimu, MP
4. Kumarisha huduma za afya ya uzazi, mama na mtoto ikiwemo kujenga, kukarabati wodi maalu-mu 100 za watoto wachanga.
#tunaboreshaafya
Ummy Mwalimu, MP
3. Katika ugharamiaji wa huduma za afya ikiwemo utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote.
#tunaboreshaafya
Ummy Mwalimu, MP
2. Kuimarisha ubora wa huduma za afya ikiwemo upatikanaji wa dawa, Vifaa Tiba, huduma za Uuguzi na Ukunga pamoja na huduma za TEHAMA
#tunaboreshaafya
Ummy Mwalimu, MP
1. Kuimarisha Huduma za Kinga ikiwemo Chanjo, Lishe pamoja na Afya Mazingira Bilioni 117.61
#Tunaboreshaafya
Ummy Mwalimu, MP