black maradona (@youthvoice_tz) 's Twitter Profile
black maradona

@youthvoice_tz

ID: 1560058829806739457

calendar_today18-08-2022 00:20:06

167 Tweet

20 Followers

136 Following

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said ataongea na Wanayanga leo Saa 1:00 Usiku kupitia Chanel yetu ya Yanga TV | YouTube. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said ataongea na Wanayanga leo Saa 1:00 Usiku kupitia Chanel yetu ya Yanga TV | YouTube. 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

🔴TEUZI Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Abdallah Ulega Kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Kabla ya Uteuzi huu alikuwa Naibu Waziri Wizara ya Mifugo na Uvuvi

🔴TEUZI 

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Abdallah Ulega Kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Kabla ya Uteuzi huu alikuwa Naibu Waziri Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Victoria C Mwanziva (@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

Tunakushukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Samia Suluhu kwa kutoa vyombo vya usafiri kwa ajili ya watendaji wa Kata hapa Wilaya ya Ludewa. Tumepokea na tumewasilisha kwa watendaji- wanashukuru wanaenda kuchapa kazi 🇹🇿 #LudewaYetu

Tunakushukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> kwa kutoa vyombo vya usafiri kwa ajili ya watendaji wa Kata hapa Wilaya ya Ludewa.

Tumepokea na tumewasilisha kwa watendaji- wanashukuru wanaenda kuchapa kazi 🇹🇿 

#LudewaYetu
NANTAMBALELE NIOKOE FOUNDATION (@nantambaleleni1) 's Twitter Profile Photo

Tunaomba tumsaidie pampa's Tunauhitaji wa pampa's Changia 3500 /= tu Kuokoa mtoto mmoja mlemavu Mungu atakulipa TUNAUHITAJI WA 350,000 TZSH DUGU ZANGU CHANGIA SADAKA ULIYO NAO KUOKOA WATOTO WETU 0745787549 Jabili issa Mpesa Unaweza kutupigia tutafuata popote

Tunaomba tumsaidie pampa's 
Tunauhitaji wa pampa's 
Changia 3500 /= tu 
Kuokoa mtoto mmoja mlemavu 
Mungu atakulipa 

TUNAUHITAJI WA 350,000 TZSH 
DUGU ZANGU CHANGIA SADAKA ULIYO NAO KUOKOA WATOTO WETU 

0745787549
Jabili issa 
Mpesa

 Unaweza kutupigia tutafuata popote
black maradona (@youthvoice_tz) 's Twitter Profile Photo

Offside "a player who is clearly offside should not become onside on every occasion when an opponent moves and touches the ball." This means that it's no longer a guarantee that a player will be deemed onside if the ball touched an opponent before him.