profile-img
Tanzania Editors Forum (TEF)

@EditorsForums

We defend freedom of expression and promote editorial excellence as keystone to realization of mature democracy in Tanzania.

calendar_today15-03-2019 13:19:41

2,3K Tweet

8,2K Takipçi

617 Takip Edilen

Tanzania Editors Forum (TEF)(@EditorsForums) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Wiebe de Boer akizungumza na wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) baada ya kufungua semina ya wanahabari kuhusu uchechemuzi wa Mabadiliko ya Sheria ya Habari leo katika Hoteli ya Slip Way, Dar es Salaam.

account_circle