(---) Onesmo Mushi
@EduTalkTz
EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The People
ID:1388257473036005378
30-04-2021 22:22:48
36,8K Tweets
23,0K Followers
1,0K Following
Follow People
(---) Onesmo Mushi Hayo maneno awe amesema au hajasema yanabakia kuwa maneno ya maana Sana ukiyachukua kwa tafakuri jadiid. Wachungaji wengi hivi Sasa ni wafanyabiashara wa mafuta, maji na dawa kila Aina za upako. Wao wanatajirika wafuasi wanaishia kutoa shuhuda zisizo na mashiko
Tuna haki ya kukataa kutii sheria kandamizi na kutumia Civil Disobedience kudemand marekebisho. Kwa bahati mbaya walimu wanaotakiwa kufanya haya ndio wapo busy kumchangia Rais Samia Suluhu pesa ya kuchukua fomu.
You cannot eat your cake and have it.
Asante sana ndugu zangu kutokea office za TRA Tanzania kwa kuweza kunichangia Tshs.1,320,000/= ikiwa kama sehemu ya kuunga mkono zoezi la kutafuta mguu bandia..🙏
Tmekusanya Tshs.3,600,000/= ✅️ Bado Tshs.900,000/= tufikie malengo.
Cont: 0652 773 985 YUSUPH IBRAHIM
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi John Pambalu Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, wanachama wanachagua viongozi wa misingi na matawi (mitaa/vijiji). Then viongozi wa matawi wanachagua viongozi wa kata, Viongozi wa kata nao wanachagua viongozi wa majimbo/wilaya. Viongozi wa kanda wanachaguliwa na viongozi wa mikoa,majimbo/wilaya
Kazi huwa inaongea yenyewe, haihitaji PR. Ukishaona Rais anatumia muda mwingi sana na gharama kubwa kutumia watu maarufu kujiuza mbele ya umma ujue kuna kitu hakipo sawa.
Kwa namna serikali ya Rais Samia Suluhu ilivyowekeza kwenye publicity, napata wasiwasi hata na zile report