(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profileg
(---) Onesmo Mushi

@EduTalkTz

EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The People

ID:1388257473036005378

calendar_today30-04-2021 22:22:48

36,8K Tweets

23,0K Followers

1,0K Following

Follow People
fukufuku(@Lubuma5) 's Twitter Profile Photo

(---) Onesmo Mushi Hayo maneno awe amesema au hajasema yanabakia kuwa maneno ya maana Sana ukiyachukua kwa tafakuri jadiid. Wachungaji wengi hivi Sasa ni wafanyabiashara wa mafuta, maji na dawa kila Aina za upako. Wao wanatajirika wafuasi wanaishia kutoa shuhuda zisizo na mashiko

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Tuna haki ya kukataa kutii sheria kandamizi na kutumia Civil Disobedience kudemand marekebisho. Kwa bahati mbaya walimu wanaotakiwa kufanya haya ndio wapo busy kumchangia Rais Samia Suluhu pesa ya kuchukua fomu.

You cannot eat your cake and have it.

account_circle
Teacher Yusuph(@YusuphHamis16) 's Twitter Profile Photo

Asante sana ndugu zangu kutokea office za TRA Tanzania kwa kuweza kunichangia Tshs.1,320,000/= ikiwa kama sehemu ya kuunga mkono zoezi la kutafuta mguu bandia..🙏
Tmekusanya Tshs.3,600,000/= ✅️ Bado Tshs.900,000/= tufikie malengo.
Cont: 0652 773 985 YUSUPH IBRAHIM
(---) Onesmo Mushi

account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

(---) Onesmo Mushi John Pambalu Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, wanachama wanachagua viongozi wa misingi na matawi (mitaa/vijiji). Then viongozi wa matawi wanachagua viongozi wa kata, Viongozi wa kata nao wanachagua viongozi wa majimbo/wilaya. Viongozi wa kanda wanachaguliwa na viongozi wa mikoa,majimbo/wilaya

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Theophilida Felician Kagera.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya ziwa Victoria kimefanya uchaguzi wa viongozi mbalimbali ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa kanda Ezekia Dibogo Wenje amekitetea kiti chake kwa mara nyingine.

Uchaguzi huo kikanda umefanyika

Theophilida Felician Kagera. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya ziwa Victoria kimefanya uchaguzi wa viongozi mbalimbali ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa kanda Ezekia Dibogo Wenje amekitetea kiti chake kwa mara nyingine. Uchaguzi huo kikanda umefanyika
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Hii sifuti mlipeni huyu mzee pension yake

kusema hauna ruhusa imetolewa na Katiba Tawala ni kujaribu kujisafisha

Katiba Tawala si angempa Nauli ila akatoa barua ya kuomba omba sasa mnataka tufuta hii barua

Hii haifutwi , mna roho mbaya sana

Mmekaa na pension ya mtu miaka 14

Hii sifuti mlipeni huyu mzee pension yake kusema hauna ruhusa imetolewa na Katiba Tawala ni kujaribu kujisafisha Katiba Tawala si angempa Nauli ila akatoa barua ya kuomba omba sasa mnataka tufuta hii barua Hii haifutwi , mna roho mbaya sana Mmekaa na pension ya mtu miaka 14
account_circle
Larry Madowo(@LarryMadowo) 's Twitter Profile Photo

OVERNIGHT: Burkina Faso extended military rule by 5 years, in national talks boycotted by most political parties.

Coup leader Captain Ibrahim Traoré, 36 - who has ruled since 2022 - becomes President and will still be eligible to run in elections in 2029

OVERNIGHT: Burkina Faso extended military rule by 5 years, in national talks boycotted by most political parties. Coup leader Captain Ibrahim Traoré, 36 - who has ruled since 2022 - becomes President and will still be eligible to run in elections in 2029
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Kazi huwa inaongea yenyewe, haihitaji PR. Ukishaona Rais anatumia muda mwingi sana na gharama kubwa kutumia watu maarufu kujiuza mbele ya umma ujue kuna kitu hakipo sawa.

Kwa namna serikali ya Rais Samia Suluhu ilivyowekeza kwenye publicity, napata wasiwasi hata na zile report

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Inasemekana haya maneno aliyatoa Rais Paul Kagame 2022, nini maoni yako?⬇️

“Tunahitaji sayansi na teknolojia zaidi kuliko theolojia. Hii ni kwa sababu tatizo linalohitaji teknolojia haliwezi kutatuliwa kwa theolojia. Kama ingekuwa hivyo, kwamba tunahitaji theolojia kutatua

Inasemekana haya maneno aliyatoa Rais Paul Kagame 2022, nini maoni yako?⬇️ “Tunahitaji sayansi na teknolojia zaidi kuliko theolojia. Hii ni kwa sababu tatizo linalohitaji teknolojia haliwezi kutatuliwa kwa theolojia. Kama ingekuwa hivyo, kwamba tunahitaji theolojia kutatua
account_circle