Ezekiel luvonga wa Chepsaita(@EzekielLuv42471) 's Twitter Profileg
Ezekiel luvonga wa Chepsaita

@EzekielLuv42471

ID:1755612841514782720

calendar_today08-02-2024 15:22:25

612 Tweets

9 Followers

82 Following

Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Rais Mustaafu Uhuru Kenyatta alionekana akihudhuria mechi ya NBA kati ya Boston Celtics na Miami Heat ugani TD Gardens mjini Boston Amerika.

Rais Mustaafu Uhuru Kenyatta alionekana akihudhuria mechi ya NBA kati ya Boston Celtics na Miami Heat ugani TD Gardens mjini Boston Amerika. #KituoChaWakenya
account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

Uchambuzi wa magazeti

> Familia ya hayati Mzee Moi yazozania mali.

> Wafanyikazi wa serikali kuajiriwa kwa Kandarasi. 'Contract'

/ MelodySinzore1

account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

....MUNGU WA NAFASI NYINGINE. Yohana 8:-1-11...Enenda zako wala usitende dhambi tena. Mungu hatuhukumu lakini anatupa nafasi nyingine, nafasi ya kutubu Na kuendelea na maisha. Anakwambia uende amekusamehe lakini usitende dhambi tena! Tukutane Galilaya!

#Neno....MUNGU WA NAFASI NYINGINE. Yohana 8:-1-11...Enenda zako wala usitende dhambi tena. Mungu hatuhukumu lakini anatupa nafasi nyingine, nafasi ya kutubu Na kuendelea na maisha. Anakwambia uende amekusamehe lakini usitende dhambi tena! Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
account_circle