Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profileg
Maria Sarungi Tsehai

@MariaSTsehai

Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,

ID:24312877

linkhttps://mariasarungitsehai.medium.com/ calendar_today14-03-2009 02:40:08

702,8K Tweet

1,2M Takipçi

8,2K Takip Edilen

Follow People
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

BALAA! ALBINO WALILIA HAKI! youtu.be/C1ar4BBQlzc?si…
Miongo yote hii bado ndugu zetu wenye ualbino wanabaguliwa na kuishi kwa hofu ya ushirikina! Dah 😢

account_circle
MwanzoTV(@MwanzoTv) 's Twitter Profile Photo

: The Directorate of Criminal Investigations, DCI, was honored to host the Director of the Federal Bureau of Investigation (FBI), Mr. Christopher Asher Wray, at Mazingira Complex headquarters on Tuesday during his Historical visit.

#KENYA: The Directorate of Criminal Investigations, DCI, was honored to host the Director of the Federal Bureau of Investigation (FBI), Mr. Christopher Asher Wray, at Mazingira Complex headquarters on Tuesday during his Historical visit.
account_circle
Ayie Tag(@TagAyie) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai MKOLONI CCM NI HATARI zaidi. Huyu mkoloni CCM anatuua, anataka TZ iwe yao kwao wachache waibe watumiliki pmjna rasilimali zote, wanataka watuuze kwa Waarabukama walivyoanza wao wakimbilie DUBAI. Wengi wao ni wajinga hawajitambui wanapenda Rushwa. Ila this time watamjua Mungu wetu

account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo


BALAA! WATU WENYE ULEMAVU WALILIA HAKI!
Rais wa Chama cha watu wenye Ualbino nchini Tanzania (TAS) Godson Mollel, ameonesha kushangazwa na Mahakama tanzania kushindwa kutoa adhabu kali kwa watu wanaokutwa na hatia ya kuwakata viungo au kuwaua watu wenye Ualbino.
Tazama

account_circle
Jizzle(@Jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Tundu Antiphas Lissu Nafupisha
Tatizo kubwa linalosumbua jimbo letu ni utitiri wa kodi mfano ng'ombe mpaka afike mnadani kuna kodi zaid ya 10 lakini pia mapori yaliyokuwa ya kijiji yamechukuliwa na serikal ukiingiza ng'ombe 1 msituni faini ni 30k, tuwapige chini ccm kuondoa shida zote hizi

account_circle
untouchable01(@doreen123m) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai 😂😂😂shangazi bhna ata wakifunga tutatumia VPN na wakikamata watumia VPN wakumbuke Ili kujua mtu anatumia VPN ni lazima na wao watumie VPN Ccm imechoka jmni

account_circle