Rashda Zunde
@RashdaZunde
|Proudly Tanzanian| | God Fearing😊| God's last born| Yanga 💚💛| Mama Asif😊
ID:1442435658618851331
27-09-2021 10:27:42
42,1K Tweets
5,8K Followers
930 Following
Rais Samia Suluhu ameruhusu mabinti kuota tena ndoto zao ambazo hapo awali walikua tayari wameshazikatia tamaa.
#mamayukoakzini sasa wanaenda kutimiza ndoto zao.
📌Juhudi za Rais Samia Suluhu Kupata Soko la Nyama Kimataifa
Tani 3,256 za Nyama Zimeuzwa Nje Katika Kipindi cha Miezi Minne, Thamani yake ni Dola za Kimarekani Milioni 13 #mamayukokazini #sisitumekubali
There are two powers in the world; one is the sword and the other is the pen. There is a third power stronger than both, that of women.' — Malala Yousafzai
#NukuuZaWanawake
“Nikiwa kama mratibu wa dawati la Jinsia, la Chuo kikuu cha Tumaini tawi la Dar es Dalaam, tumewapa semina walimu na wafanyakazi kuhusu rushwa ya ngono, na tumezindua Sera ya jinsia chuoni ili kupambana na rushwa hiyo” Mary Kafyome - Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Tumaini. #VunjaUkimya
Maatumizi ya mafuta mabaya yanasababisha magonjwa ya moyo, kupitia utafiti uliofanywa unaonesha katika nchi za Afrika ni Afrika kusini tu ambayo ina sheria inayolimit kiwango cha Trans Fat kwenye chakula😕
TAWLA
Global Health Advocacy Incubator
#TransFatFreeEAC
#TransFatFreeTz