Amri Abdalah(@amri_abdalah) 's Twitter Profileg
Amri Abdalah

@amri_abdalah

Teacher, Poet& author.
Winner of Mwalimu Nyerere National Prize for Creative Writing in Poetry category -2023.

ID:1509399148449222658

calendar_today31-03-2022 05:16:50

115 Tweets

50 Followers

73 Following

Amri Abdalah(@amri_abdalah) 's Twitter Profile Photo

'Kila kilicho ktk mwangaza maradufu yake imo ktk Kiza, Kwa baadhi hutokeza mapema, na Kwa wengine majilio yake huchelewa;Kwa baadhi hupatikana nyingi, na Kwa wengine Huwa kidogo; lakini haikosekani kuwako.'

account_circle
Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Alisoma Korogwe na Weruweru, Chuo akaenda UDSM na Masomo ya Juu zaidi Ujerumani. Akafundisha UDSM, akawa Mbunge, Balozi, Waziri wa Mambo ya Nje na Naibu Katibu Mkuu UN. Mwanamke Mtanzania mwenye Mafainikio Makubwa zaidi kwenye Diplomasia, Dkt Asha Rose Migiro, sasa ana miaka 67.

Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha mzee Hemedi Bakari Mkali, Mwenyekiti wa Wazee wa Dar es Salaam. Pole kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Tangu harakati za kudai uhuru na hata sasa, kujitoa kwa hali na mali, na busara za wazee wa Dar…

Ida Hadjivayanis(@IdaHadjivayanis) 's Twitter Profile Photo

Kulikuwa na utani - Rais wa zamani wa Ufaransa, Valéry Giscard d’Estaing alienda Burundi na alipowasikia wanazungumza aliwaambia lugha yao kama Kifaransa Kabisa! Wakamwambia - mbona tunazungumza Kifaransa ? Akashangaa! Hicho ni Kifaransa chao na hadi leo wanacho 😀

account_circle
Safal-Cornell Kiswahili Prize(@KiswahiliPrize) 's Twitter Profile Photo

The Safal-Cornell Kiswahili Prize for African Literature is open for submissions. Deadline is June 30th, 2023. For more details visit kiswahiliprize.cornell.edu

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Heartfelt congratulations to His Majesty King Charles III and Queen Camilla on your . May your reign be filled with peace, stability and prosperity. I am looking forward to taking the strong and historical Tanzania-UK bilateral ties to greater heights.

Heartfelt congratulations to His Majesty King Charles III and Queen Camilla on your #Coronation. May your reign be filled with peace, stability and prosperity. I am looking forward to taking the strong and historical Tanzania-UK bilateral ties to greater heights.
account_circle