Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile
Patrick Ole Sosopi

@patricolesosopi

🔛#Chadema| Central Committee Member|
A Former Chairperson Of CHADEMA National Youth Council (BAVICHA)|

🔜Next Isimani MP 2025|

Politician & Entrepreneur|

ID: 797828013287153664

calendar_today13-11-2016 15:46:36

196,196K Tweet

104,104K Takipçi

673 Takip Edilen

Alphonce Lusako (@lusakoalphonce) 's Twitter Profile Photo

Hakuna aliye Salama. Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA Tanzania Iketi kwa Udharura Wake,Haya Mambo Yakomeshwe kwa Vitendo na Yatafutiwe Suluhu ya Kudumu. Vyama Vingine Vyote Vya Siasa. Viongozi wa DINI Zote, AZAKI, na Wananchi Wote tudhibiti UHALIFU. TUJITETEE, TUJILINDE😭

Hakuna aliye Salama. Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani <a href="/ChademaTz/">CHADEMA Tanzania</a> Iketi kwa Udharura Wake,Haya Mambo Yakomeshwe kwa Vitendo na Yatafutiwe Suluhu ya Kudumu. Vyama Vingine Vyote Vya Siasa. Viongozi wa DINI Zote, AZAKI, na Wananchi Wote tudhibiti UHALIFU. TUJITETEE, TUJILINDE😭
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Mliokuwa mnamtetea Samia Suluhu mkasema tunambagua kwa sababu ni mwislamu, mzanzibari, mwanamke mko wapi? Tena wengine tuliwaheshimu mkaleta huu ujinga! Haya semeni sasa! Mzee Ali Mohammed Kibao vipi? Katekwa na kuuwawa na watu wenye pingu waliojitambulisha kama polisi na Mama

Mliokuwa mnamtetea <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> mkasema tunambagua kwa sababu ni mwislamu, mzanzibari, mwanamke mko wapi?
Tena wengine tuliwaheshimu mkaleta huu ujinga!
Haya semeni sasa! Mzee Ali Mohammed Kibao vipi? 
Katekwa na kuuwawa na watu wenye pingu waliojitambulisha kama polisi na Mama
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Sasa hiki ndo’ kitakuja kutokea sasa…. Na hapa askari polisi watatambua kulikuwa na umuhimu sana wao kuungana na sisi toka awali, hasa askari polisi wa kawaida (Rank ya chini) Ni hivi, kutokana na yanayoendelea watu kupotea na wengine kufa na dola ikiulizwa inakosa majibu, Raia

Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Siku chache zilizopita Ally Mohamed Kibao akifanya mazoezi ya kuogelea. Ndugu Watanzania, huyu ndiye mtoto wake alisema hali yake ni dhoofu na anatumia dawa? Pia katika orodha ya kazi zake CHADEMA mbona hawasemi ni Mkufunzi wa Red Brigade waliopanga kuvamia vituo vya Polisi?

Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Inashangaza sana kuona Police Force TZ wanachukua hatua za kuanza kufanya uchunguzi baada ya Tweet ya Mheshimiwa Rais. Hili tukio lina zaidi ya saa 12, mko kimya. Mkumbuke, nyie na taasisi zote hamumfanyii Rais kazi, mnawafanyia Watanzania kwa mujibu wa sheria.

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

🗣️ Tatizo lako unaongea ongea sana kuusema utawala….. 🗣️ 🗣️Wewe ipo watakuteka tu maana unaropoka ropoka sana…. 🗣️🗣️🗣️ Oyaa acha kuandika andika mitandaoni kukosoa viongozi utapotezwa Hizo ndio kauli watu wengi wanaambiwa na wanaamini wanaofanya hayo ndio Target ya watesi.

Free Soka 💔 (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

…. Ilikuwa Masaa, zikapita siku, yakaja majuma na Leo ni karibia Mwezi bado Hatma ya Deus Soka na Wenzie haifahamiki. Mwenye Haki akitawala watu Hufurahi, tusipo furahi maanake ni kinyume chake.

…. Ilikuwa Masaa, zikapita siku, yakaja majuma na Leo ni karibia Mwezi bado Hatma ya Deus Soka na Wenzie haifahamiki.

Mwenye Haki akitawala watu Hufurahi, tusipo furahi maanake ni kinyume chake.
Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

Polisi Mnataka Watu Wangapi Wapotee, Wauwawe, Wateswe? Ndiyo Mtaweza Kuchukua Hatua, Watanzania Kila Siku, wanatekwa Watu wanaojitambulisha ni Polisi tena kwa kuonyesha vitambulisho, wanatumia Silaha Za Moto, Wanatumia Pingu, Lakini baada ya Muda Mnatoa Taarifa kwamba

Polisi Mnataka Watu Wangapi Wapotee, Wauwawe, Wateswe? 
Ndiyo Mtaweza Kuchukua Hatua, Watanzania Kila Siku, wanatekwa Watu wanaojitambulisha ni Polisi tena kwa kuonyesha vitambulisho, wanatumia Silaha Za Moto, Wanatumia Pingu,  Lakini baada ya Muda Mnatoa Taarifa kwamba
Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

Walipo Dar Tufike Kwa Wingi Mahakama Kuu Kanda ya Dar, Kusikiliza Hukumu ya TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Au Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Kwa Mujibu wa Sheria. Mahakama Kuu Leo Tunaisubiria Tena Kuona Kama Itafanya Business As Usual. Mapambano Lazima

Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwasili nyumba kwa marehemu mzee Ali Mohamed Kibao Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama Taifa, mjini Tanga. Katibu Mkuu amepokelewa na Katibu Mkuu Mhe. MNYIKA John John, Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila na Mwenyekiti wa Kanda ya

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. <a href="/freemanmbowetz/">Freeman Mbowe</a> akiwasili nyumba kwa marehemu mzee Ali Mohamed Kibao Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama Taifa, mjini Tanga. Katibu Mkuu amepokelewa na Katibu Mkuu Mhe. <a href="/jjmnyika/">MNYIKA John John</a>, Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila na Mwenyekiti wa Kanda ya
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu John Mnyika anatoa salamu za pole. "Ali Muhammad Kibao ni Mjumbe wa Sekretarieti na Kwa maana hiyo ni Mjumbe pia wa Kamati kuu ya CHADEMA,Pole sana Mheshimiwa Mwenyekiti Mbowe" "Poleni sana familia ya Ali Kibao,nilikuwa naye hapa Tanga tukiwa tumejifungia kupanga

Katibu Mkuu John Mnyika anatoa salamu za pole.

"Ali Muhammad Kibao ni Mjumbe wa Sekretarieti na Kwa maana hiyo ni Mjumbe pia wa Kamati kuu ya CHADEMA,Pole sana Mheshimiwa Mwenyekiti Mbowe"

"Poleni sana familia ya Ali Kibao,nilikuwa naye hapa Tanga tukiwa tumejifungia kupanga
Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

CCM na Serikali Sikilizeni Sauti ya Umma Mhe. Rais Samia Suluhu huu msiba umeharibu sana reputation yako uliyoijenga kwa muda mfupi. Sasa hata haya mauaji, utekaji na kupotea kwa watu yalifanywa kipindi cha Mwendazake na alitoa kauli za kulaani hivi lakini hakuna action