Mirembe National Mental Health Hospital (@mirembe_hosptz) 's Twitter Profile
Mirembe National Mental Health Hospital

@mirembe_hosptz

Government Specialized Mental Health Hospital in Tanzania

ID: 1688834533427208192

linkhttp://www.mnmh.or.tz calendar_today08-08-2023 08:48:51

546 Tweet

1,1K Followers

108 Following

Mirembe National Mental Health Hospital (@mirembe_hosptz) 's Twitter Profile Photo

MNMH imeendesha mafunzo ya afya ya akili kwa waandishi wa habari, lengo ni kuongeza uelewa na ujuzi wa kuripoti masuala ya afya ya akili kwa usahihi na ufanisi. Mafunzo haya yanakuja wakati ambapo umuhimu wa afya ya akili unazidi kutambulika kuwa muhimu ya ustawi wa jamii.