Patrick Ole Sosopi
@patricolesosopi
🔛#Chadema| Central Committee Member|
A Former Chairperson Of CHADEMA National Youth Council (BAVICHA)|
🔜Next Isimani MP 2025|
Politician & Entrepreneur|
ID: 797828013287153664
13-11-2016 15:46:36
196,196K Tweet
104,104K Followers
673 Following
Hakuna aliye Salama. Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA Tanzania Iketi kwa Udharura Wake,Haya Mambo Yakomeshwe kwa Vitendo na Yatafutiwe Suluhu ya Kudumu. Vyama Vingine Vyote Vya Siasa. Viongozi wa DINI Zote, AZAKI, na Wananchi Wote tudhibiti UHALIFU. TUJITETEE, TUJILINDE😭
Mliokuwa mnamtetea Samia Suluhu mkasema tunambagua kwa sababu ni mwislamu, mzanzibari, mwanamke mko wapi? Tena wengine tuliwaheshimu mkaleta huu ujinga! Haya semeni sasa! Mzee Ali Mohammed Kibao vipi? Katekwa na kuuwawa na watu wenye pingu waliojitambulisha kama polisi na Mama
Nani anafuata Samia Suluhu Chama Cha Mapinduzi Police Force TZ tuambieni, maana ninyi mmeshikilia uhai wetu 😭😭😭 CHADEMA Tanzania Official Bavicha Taifa Godbless E.J. Lema Maria Sarungi Tsehai Hilda Newton Boniface Jacob
Inashangaza sana kuona Police Force TZ wanachukua hatua za kuanza kufanya uchunguzi baada ya Tweet ya Mheshimiwa Rais. Hili tukio lina zaidi ya saa 12, mko kimya. Mkumbuke, nyie na taasisi zote hamumfanyii Rais kazi, mnawafanyia Watanzania kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwasili nyumba kwa marehemu mzee Ali Mohamed Kibao Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama Taifa, mjini Tanga. Katibu Mkuu amepokelewa na Katibu Mkuu Mhe. MNYIKA John John, Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila na Mwenyekiti wa Kanda ya
CCM na Serikali Sikilizeni Sauti ya Umma Mhe. Rais Samia Suluhu huu msiba umeharibu sana reputation yako uliyoijenga kwa muda mfupi. Sasa hata haya mauaji, utekaji na kupotea kwa watu yalifanywa kipindi cha Mwendazake na alitoa kauli za kulaani hivi lakini hakuna action