Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Tsh. Bil. 9 kwa ajili ya mafunzo ya wataalamu wa fani za ubingwa na ubingwa itayosaidia kukabiliana na changamoto ya upungufu #Cont ....
#PharmadawaUpdates
#MtuNiAfya
Yafahamu magonjwa yasiyo ambukiza #NCDs , maana yake, mifano yake na namna ya kujikinga na hatari ya kuyapata.
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 WHO African Region @WHO
#mtuniafya #ncdsyouthchampions 🤝🏾
The Covid 19 virus can spread from an infected person’s mouth or nose in small liquid particles when they cough, sneeze, speak, sing or breathe. Take precautions and get free testing to stay safe.
#PimaUviko19
#MtuNiAfya
Elimu ya Afya kwa Umma Sikika Unitaid
#COVID19 testing is one way to understand the country's prevalence. So let us all test to understand our status.
✅ Get tested
✅ Protect yourself
#PimaUviko19 #MtuNiAfya
Wabunge Leo wanaraha sana hapa bungeni,ukiwauliza Nini wanasema Odo Ummy Mwalimu, MP anakuja kutueleza mambo muhimu sana ya Afya.
#mtuniAfya#
MR BEN Seif Haruna Iddy
#OVERDOSE
Kutumia dawa zaidi ya maelekezo ya mfamasia au daktari kunaweza kusababisha madhara makubwa.
Inaweza kusababisha athari mbaya kwa afya yako, kuingiliana na dawa nyingine unazotumia, au kusababisha mzio.
#Pharmadawa
#MtuNiAfya
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa bandama lenye shida kwa mgonjwa kwa njia ya matundu madogo (laparoscopic splenectomy).
Soma zaidi: x.com/wizara_afyatz/…
#MtuNiAfya
#PharmadawaUpdates