SWAHILI FOOTBALL MEMEZ(@football_meme03) 's Twitter Profileg
SWAHILI FOOTBALL MEMEZ

@football_meme03

this page is only for funny.
I don't really mean no Harm but it just happens sometimes
😂😂..
#NBC_league memes
#uefa_memes.

ID:1440612321596870657

calendar_today22-09-2021 09:42:36

7,9K Tweet

3,4K Takipçi

2,9K Takip Edilen

Follow People
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

You have only one job to do . Just STAY FIT . Baada ya hapo tuache sisi tushuhudie your magic .!

Football looks so easy kwa huyu kijana .

You have only one job to do . Just STAY FIT . Baada ya hapo tuache sisi tushuhudie your magic .! Football looks so easy kwa huyu kijana .
account_circle
Big 007❄️(@Big0047) 's Twitter Profile Photo

Naam Musione niko Kimya nikipangilia Kabati la Tuzo vizuri, wakati huo Kamati ya Hovyo inaendelea kuongea na Wagawa Tuzo 🔥

Naam Musione niko Kimya nikipangilia Kabati la Tuzo vizuri, wakati huo Kamati ya Hovyo inaendelea kuongea na Wagawa Tuzo 🔥
account_circle
SWAHILI FOOTBALL MEMEZ(@football_meme03) 's Twitter Profile Photo

Ulaya mtu akichafua Hali ya hewa anapokonywa endorsement zote, lakin bongo ndio anaongeza tension ya kupata deals zaid

account_circle
SANTANA25✝️(@GwanSantana) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu humwambii kitu kuhusu DMX!

Kuna mtu humwambii kitu kuhusu EMINEM

Kuna mtu humwambii kitu kuhusu Uncle Snoopy

Kuna mtu humwambii kitu kuhusu 50 cent

Kuna mtu humwambii kitu kuhusu The notorious B.I.G

So nao hawajui taste ya muziki sio?

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kelele za “uoe sasa Brigedia” zimekuwa nyingi sana masikioni. Ngoja tuone 2024 itakuaje wandewa.. anyways, spana zidumu..😀

Kelele za “uoe sasa Brigedia” zimekuwa nyingi sana masikioni. Ngoja tuone 2024 itakuaje wandewa.. anyways, spana zidumu..😀
account_circle
Collins Okinyo(@bedjosessien) 's Twitter Profile Photo

Shukran Tanzania 🇹🇿 kwa Ukarimu wenyu nawapongeza kwa jitihada zote ambazo mulizozionyesha kwa mchezo wa Mpira ⚽️ Mungu awabariki sana ♥️

Ni wakati wa kurudi nyumbani nasi wakenya tunataka tunaka tuwe kama nyinyi kwa mchezo wa mpira.

Thanks Tanzania 🇹🇿 for the fantastic…

Shukran Tanzania 🇹🇿 kwa Ukarimu wenyu nawapongeza kwa jitihada zote ambazo mulizozionyesha kwa mchezo wa Mpira ⚽️ Mungu awabariki sana ♥️ Ni wakati wa kurudi nyumbani nasi wakenya tunataka tunaka tuwe kama nyinyi kwa mchezo wa mpira. Thanks Tanzania 🇹🇿 for the fantastic…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Nikupe nini cha kukupendeza Mungu wangu? Jamii inaona fahari ya kuishi kwangu nikiwa hai, leo kuna kiumbe ataishi maisha yake yote akiwa na jina linalotoka kwangu. Mungu baba endelea kunipeleka katika njia salama na nia njema. Zab 136:1-25. 2 Wakorintho 9:15

Tanzania Footballers Abroad 🇹🇿(@TzFootballers) 's Twitter Profile Photo

Naelewa haya Ni majina ya awali kuna baadhi ya wachezaji wanaweza wasitokee Kwenye Majina ya mwisho kuelekea AFCON ila napenda kutoa hongera na shukrani kwa wote tulioshiriki Kampeni ya 'Bring Pelle Home' Wote tumefanya jambi kubwa tuendelee kuungana mkono Mpira wetu 🙏🇹🇿