Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profileg
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@wizara_afyatz

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA

ID:3044753523

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today19-02-2015 04:54:19

6,1K Tweets

233,4K Followers

135 Following

Follow People
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea maadhimisho ya Siku ya
Wachangia Damu Duniani, Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama unalenga kuhamasisha mikoa kukusanya damu ili kufikia mahitaji ya nchi. Kuanzia tarehe 01.06.2024 hadi 14.06.2024 kutakua na kampeni ya ukusanyaji wa damu Nchi nzima,

account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Na WAF - Dodoma

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Waganga wakuu wa Mikoa, Waganga Wakuu wa Wilaya Pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali kwa ngazi zote nchini kuzingatia maelekezo ya Mwongozo wa kutozuia maiti na kuweka utaratibu wa kulipia gharama za matibabu

Na WAF - Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Waganga wakuu wa Mikoa, Waganga Wakuu wa Wilaya Pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali kwa ngazi zote nchini kuzingatia maelekezo ya Mwongozo wa kutozuia maiti na kuweka utaratibu wa kulipia gharama za matibabu
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

NAIBU MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI AAGA WIZARA YA AFYA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu mapema leo tarehe 31 Mei 2024 amepokea ugeni wa aliyekua Naibu Mwakilishi wa Shirika la UNICEF nchini Tanzania Bw. Ousmane Niang ambaye amefika ofisini hapo kwa lengo la kuaga

NAIBU MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI AAGA WIZARA YA AFYA Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu mapema leo tarehe 31 Mei 2024 amepokea ugeni wa aliyekua Naibu Mwakilishi wa Shirika la UNICEF nchini Tanzania Bw. Ousmane Niang ambaye amefika ofisini hapo kwa lengo la kuaga
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

MYOMA YENYE ZAIDI YA KILO 4.2 ILIVYO MTESA MAMA WA MIAKA 44 KWA MIAKA MITANO

Na WAF - Mtwara.

Timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wanaoendelea kutoa huduma za matibabu karibu na wananchi kwa sasa wamefanikiwa kumtoa uvimbe kwenye mfuko wa kฤฑzazi ( Uterine Myoma) wenye uzito

MYOMA YENYE ZAIDI YA KILO 4.2 ILIVYO MTESA MAMA WA MIAKA 44 KWA MIAKA MITANO Na WAF - Mtwara. Timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wanaoendelea kutoa huduma za matibabu karibu na wananchi kwa sasa wamefanikiwa kumtoa uvimbe kwenye mfuko wa kฤฑzazi ( Uterine Myoma) wenye uzito
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA, GLOBAL FUND KUKUZA USHIRIKIANO KUTOKOMEZA UKIMWI, KIFUA KIKUU NA MALARIA

Na WAF - Geneva, Uswisi

Serikali ya Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania na Taasisi ya Global Fund kuendelea kushirikiana ili kutekeleza vipaumbele vya Serikali vinavyolenga kutokomeza magonjwa ya

TANZANIA, GLOBAL FUND KUKUZA USHIRIKIANO KUTOKOMEZA UKIMWI, KIFUA KIKUU NA MALARIA Na WAF - Geneva, Uswisi Serikali ya Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania na Taasisi ya Global Fund kuendelea kushirikiana ili kutekeleza vipaumbele vya Serikali vinavyolenga kutokomeza magonjwa ya
account_circle
Ummy Mwalimu๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

A well attended side event organised by Tanzania Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ on Strengthening Primary Health Care through implementation of the Intergrated and Coordinated Community Health Workers Program in Tanzania at the . We thank all partners for their commitment and support on the

A well attended side event organised by Tanzania @wizara_afyatz on Strengthening Primary Health Care through implementation of the Intergrated and Coordinated Community Health Workers Program in Tanzania at the #WHA77. We thank all partners for their commitment and support on the
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

MABADILIKO YA TABIA NCHI YANACHOCHEA ONGEZEKO LA MAGONJWA

Na WAF - Geneva, Uswisi

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Dunia kwa sasa inapitia wakati mgumu kutokana na mabadiliko ya tabia nchi ambayo yanapelekea kuongezeka kwa magonjwa ikiwemo magonjwa ya mlipuko pamoja na

MABADILIKO YA TABIA NCHI YANACHOCHEA ONGEZEKO LA MAGONJWA Na WAF - Geneva, Uswisi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Dunia kwa sasa inapitia wakati mgumu kutokana na mabadiliko ya tabia nchi ambayo yanapelekea kuongezeka kwa magonjwa ikiwemo magonjwa ya mlipuko pamoja na
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YAWEKA BAYANA UBUNIFU UNAOFANYIKA KUFIKIA AFYA KWA WOTE

Na WAF, Geneva Uswisi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imeweka bayana mikakati na ubunifu unaofanyika kufikia malengo ya Afya kwa wote ifikapo 2030

Akizungumza wakati wa Mkutano

TANZANIA YAWEKA BAYANA UBUNIFU UNAOFANYIKA KUFIKIA AFYA KWA WOTE Na WAF, Geneva Uswisi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imeweka bayana mikakati na ubunifu unaofanyika kufikia malengo ya Afya kwa wote ifikapo 2030 Akizungumza wakati wa Mkutano
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WANANCHI 150 WAFIKIWA NA HUDUMA ZA KIBINGWA NDANI YA SAA 48.

Na. WAF โ€“ Mtwara

Wananchi zaidi ya 150 wa Wilaya ya Nanyamba Mkoani Mtwara, wamepatiwa huduma za matibabu ya kibingwa na madaktari bingwa wa Rais Samia katika siku mbili za mwazo wa kambi wa madaktari hao.

Hayo

WANANCHI 150 WAFIKIWA NA HUDUMA ZA KIBINGWA NDANI YA SAA 48. Na. WAF โ€“ Mtwara Wananchi zaidi ya 150 wa Wilaya ya Nanyamba Mkoani Mtwara, wamepatiwa huduma za matibabu ya kibingwa na madaktari bingwa wa Rais Samia katika siku mbili za mwazo wa kambi wa madaktari hao. Hayo
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YAPONGEZWA KUANZISHA MPANGO JUMUISHI WA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII

Na WAF - Geneva, Uswisi

Wadau wa maendeleo katika Sekta ya Afya waipongeza Tanzania kwa kuanzisha mpango jumuishi na shirikishi wa wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii utakaowafikishia wananchi huduma

TANZANIA YAPONGEZWA KUANZISHA MPANGO JUMUISHI WA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII Na WAF - Geneva, Uswisi Wadau wa maendeleo katika Sekta ya Afya waipongeza Tanzania kwa kuanzisha mpango jumuishi na shirikishi wa wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii utakaowafikishia wananchi huduma
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu Leo Mei 28, 2024, akiwa katika Ofisi ndogo za Wizara ya Afya, Jijini Dar es Salaam amefanya Mazungumzo na Wageni kutoka baraza la Congress Marekani (The United States Congressional Staff Delegation).

Msafara huo ambao umeongozwa na

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu Leo Mei 28, 2024, akiwa katika Ofisi ndogo za Wizara ya Afya, Jijini Dar es Salaam amefanya Mazungumzo na Wageni kutoka baraza la Congress Marekani (The United States Congressional Staff Delegation). Msafara huo ambao umeongozwa na
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WADAU WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA ENEO LA UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU

Na WAF - Geneva, Uswisi

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Mei 28, 2024 amekutana kufanya mazungumzo na Prof. Gail Rosseau, ambaye ni bingwa wa upasuaji wa ubongo na mushipa ya

WADAU WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA ENEO LA UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU Na WAF - Geneva, Uswisi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Mei 28, 2024 amekutana kufanya mazungumzo na Prof. Gail Rosseau, ambaye ni bingwa wa upasuaji wa ubongo na mushipa ya
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI UMMY AELEZA MBINU ZILIZOCHANGIA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO NCHINI TANZANIA

Na WAF - Geneva, Uswisi

Utashi wa Kisiasa na Uongozi imara wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto ni moja ya jambo ambalo limechangia Tanzania

WAZIRI UMMY AELEZA MBINU ZILIZOCHANGIA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO NCHINI TANZANIA Na WAF - Geneva, Uswisi Utashi wa Kisiasa na Uongozi imara wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto ni moja ya jambo ambalo limechangia Tanzania
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

MADAKTARI BINGWA WAFIKA HALMASHAURI SITA MKOA WA LINDI

Na WAF -Lindi

Mkoa wa Lindi umekuwa mmoja wa mikoa iliyopokea Madaktari Bingwa 35 kwenye Halmashauri zake sita ikiwa ni muendelezo wa kambi hizo kusogeza huduma za afya karibu na wananchi.

Akiwa amemuwakilisha Mkuu wa mkoa

MADAKTARI BINGWA WAFIKA HALMASHAURI SITA MKOA WA LINDI Na WAF -Lindi Mkoa wa Lindi umekuwa mmoja wa mikoa iliyopokea Madaktari Bingwa 35 kwenye Halmashauri zake sita ikiwa ni muendelezo wa kambi hizo kusogeza huduma za afya karibu na wananchi. Akiwa amemuwakilisha Mkuu wa mkoa
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WAZAZI TENGENI BAJETI YA YA KUWANUNULIA TAULO ZA KIKE WATOTO WENU

Na WAF, ARUSHA

Wazazi na walenzi nchini wametatakiwa kuhakikisha wanawawezesha watoto wa kike kila mwezi kupata vifaa vyao vyakujilinda na kuwa na hedhi salama katika muda husika.

Rai hiyo imetolewa leo Mei

WAZAZI TENGENI BAJETI YA YA KUWANUNULIA TAULO ZA KIKE WATOTO WENU Na WAF, ARUSHA Wazazi na walenzi nchini wametatakiwa kuhakikisha wanawawezesha watoto wa kike kila mwezi kupata vifaa vyao vyakujilinda na kuwa na hedhi salama katika muda husika. Rai hiyo imetolewa leo Mei
account_circle