Catherine Ruge (Msubhati)
@CatherineRuge
UN -empower women champion for change. Secretary General for CHADEMA Women Wing .
Former Member of Parliament of UR of Tanzania 2017-2020
ID:792413258686799872
http://www.girlsinitiatives.ac.tz 29-10-2016 17:10:18
5,4K Tweets
127,5K Followers
1,4K Following
Hii ni mara ya 3 bwana Lilenga kukamatwa. Mara mbili ameachiwa. Wanaomteka wamegeuza kitega uchumi. Usumbufu mkubwa kwa familia na taharuki kubwa katika jamii. Police Force TZ wanapaswa kukomesha hali hii ambayo imekuwa sugu sana haswa hapa Kigoma. Familia nyingi zina madonda makubwa ya
✊🏽 Tundu Antipas Lissu ‼️
Kachapa siku kadhaa spana kawatoa nduki huko watoto wa Mama aka Kizimkazi gang 🤣
Mitandaoni 👉🏽 Lissu
Bungeni 👉🏽 Lissu
Vikao vya CCM 👉🏽 Lissu
🤣🤣
Jamani tuhakikishe Tundu Antiphas Lissu anachapa hizi spana daily majukwaani 👏🏽
Spana ziendelee #TutaelewanaTu
Nimeona leo kuna baadhi ya WATENDAJI wa SERIKALI wameamua “KUMSIFIA” Rais. Ni jambo ZURI. Lakini ni VIBAYA SANA kumpa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu SIFA ZA KIJINGA. Eti kuna mtu “AMEMSHUKURU RAIS KWA MVUA ZINAZONYESHA” Kweli jamani?😂😂
TCD tunampongeza Katibu Mkuu wa OfficialBawacha Taifa, Mhe. CPA Catherine Ruge (Msubhati) kwa kushinda tuzo ya Ubunifu katika kuwawezesha wanawake tarehe 22 Machi 2024.
Tuzo za EmpowerHer Excelency zinalenga kutambua juhudi za wanawake na taasisi katika kuwawezesha wanawake kiuchumi na kijamii.
Nimechaguliwa kwenye tuzo za EmpowerHer Excellence Award
Jinsi ya kupiga kura, fungua link hapo chini utakuta picha yangu, Nenda kwenye comments section andika #Anastahili .
Hashtag ni lazima kabla ya neno anastahili.
Naomba kura yako ili niweze kushinda instagram.com/p/C4h-UUEr6tB/…