(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profileg
(---) Onesmo Mushi

@EduTalkTz

EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The People

ID:1388257473036005378

calendar_today30-04-2021 22:22:48

35,5K Tweets

21,7K Followers

1,0K Following

Follow People
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Watanzania wenzetu wanaishi kwa tabu sana; Kinachoumiza na kukasirisha ni kwamba wanafanyiwa haya na serikali kwa kutumia kodi zao.😡⬇️

“Hakumbuki walimbaka watu wangapi, lakini anajua kwamba alipoteza fahamu wakati mtu wa tatu akimuingilia kwa nguvu.” thechanzo.com/2024/05/08/mau…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kitabu cha ‘Muungano wa Tanganyika na Zanzibar; Chimbuko, Misingi na Maendeleo’. Kitabu kimeandikwa na Ofisi ya Makamu wa Rais - Tanzania. Kitabu hiki kinaeleza kwamba Tanganyika (sasa wameibatiza jina la Tanzania Bara) ilipata uhuru kwa kumwaga damu baada ya mapambano ya miaka…

Kitabu cha ‘Muungano wa Tanganyika na Zanzibar; Chimbuko, Misingi na Maendeleo’. Kitabu kimeandikwa na Ofisi ya Makamu wa Rais - Tanzania. Kitabu hiki kinaeleza kwamba Tanganyika (sasa wameibatiza jina la Tanzania Bara) ilipata uhuru kwa kumwaga damu baada ya mapambano ya miaka…
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Swali la ufahamu: Kwenye hizi ajira 12,000 za walimu, ajira ngapi ni mpya?🤔

Yani ni walimu wangapi wamestaafu na wangapi wameacha kazi, ambao wanakuwa replaced?

Halafu sasa ni wangapi wapya wanaoongezeka baada ya hii replacement?

Swali la ufahamu: Kwenye hizi ajira 12,000 za walimu, ajira ngapi ni mpya?🤔 Yani ni walimu wangapi wamestaafu na wangapi wameacha kazi, ambao wanakuwa replaced? Halafu sasa ni wangapi wapya wanaoongezeka baada ya hii replacement?
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

HABARI MBAYA NA YA KUSIKITISHA KUHUSU MAUAJI YA NYAMONGO, TARIME.

Leo mwili wa marehemu Emmanuel Nyakorenga mkazi wa kijiji cha Kewanja ulipasuliwa na kufanyiwa uchunguzi.

Madaktari na Polisi walioshiriki zoezi hilo,Walitoa risasi ndani ya mwili wa marehemu Kisha wamekimbia na…

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wana shida, wanamtaka mtu anayesikiliza na kutatua shida zao; mengine hayawahusu sana.

Ukikaa na huyu mwananchi leo na kumfafanulia kwamba anayejifanya kukusikiliza na kutatua shida żako ndio huyo huyo aliyekupa hizo shida anaweza asikuelewe wala asitake kukuelewa.…

account_circle
Tito Magoti, PG(@TitoMagoti) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu kesi yangu ya Kikatiba, ya kupinga vifungu kadhaa vya sheria mpya ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2023.

Mahakama imekubaliana na baadhi ya hoja zetu na kubatilisha vif vya 22(3) & 23(3)(c)(e) vya sheria hiyo.

Nimepokea uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu kesi yangu ya Kikatiba, ya kupinga vifungu kadhaa vya sheria mpya ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2023. Mahakama imekubaliana na baadhi ya hoja zetu na kubatilisha vif vya 22(3) & 23(3)(c)(e) vya sheria hiyo.
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Swali: Amri ya kwanza ya Mungu inasema “mimi ni bwana Mungu wako, usiabudu miungu wengine ila mimi.”

Hii miungu mingine aliiumba nani?

Kwa nini aliiumba wakati alijua wazi itakuja kushindana nae?

Swali: Amri ya kwanza ya Mungu inasema “mimi ni bwana Mungu wako, usiabudu miungu wengine ila mimi.” Hii miungu mingine aliiumba nani? Kwa nini aliiumba wakati alijua wazi itakuja kushindana nae?
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Hebu tuelezeni Air Tanzania na Wakala wa ndege ikulu_Tanzania
-Ndege ina shida gani huko Malaysia ikae miezi 7?
-kwa nini injini zote mbili zimetolewa?
Kazi ipo!



Someni hapa:
thecitizen.co.tz/tanzania/news/…

Hebu tuelezeni @AirTanzania na Wakala wa ndege @ikulumawasliano -Ndege ina shida gani huko Malaysia ikae miezi 7? -kwa nini injini zote mbili zimetolewa? Kazi ipo! #TutaelewanaTu Someni hapa: thecitizen.co.tz/tanzania/news/…
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Swali: Kwenye Mathayo 16:28 Yesu anawaambia makutano “ami nawaambia kuna watu kati yenu mliosimama hapa hawataonja kifo mpaka watakapomwona mwana wa Mungu akija na ufalme wake.”

Hawa watu wapo wapi leo au ndio biblia haisomwi kama gazeti?🤔

Swali: Kwenye Mathayo 16:28 Yesu anawaambia makutano “ami nawaambia kuna watu kati yenu mliosimama hapa hawataonja kifo mpaka watakapomwona mwana wa Mungu akija na ufalme wake.” Hawa watu wapo wapi leo au ndio biblia haisomwi kama gazeti?🤔
account_circle