Issa Shivji
@IssaShivji
Professor Emeritus of Public Law & First Julius Nyerere University Prof, Uni of Dar es Salaam. THE ART OF KNOWING IS KNOWING WHAT TO IGNORE -Rumi
ID:4634787227
28-12-2015 18:12:38
6,4K Tweets
163,6K Followers
67 Following
Zamani huko kwenye Majumba yenu ya Kitaaluma siku kama ya leo palikuwa na Mijadala Mizito juu ya Ustawi wa Muungano Sabatho Nyamsenda Issa Shivji
deckrine Cap 16 Sabatho Nyamsenda Issa Shivji Vyuo vikuu vipo compromised, Rais anaingia madarakani tu ghafla kila chuo kinakimbilia kumpa honorary causa ili kujisogeza kwake. Karibu mifumo yote ya uwajibishaji ya umma imewekwa kwenye pochi ya Rais; hii ni attack ya wazi kwa ustawi wa jamii.
Issa Shivji Ndio ukawa mwanzo wa Serikali kuweka vyama vya wafanya kazi na viongozi wao chini ya utii wao, vyama vya wafanya kazi wamebaki makasuku kwa watawala angalia pension zao inavyotumika vibaya achilia mbali ya jinamizi la kikokotoo, vyama vya wafanya kazi wako kimya tu, praise team
deckrine Cap 16 Issa Shivji Kweli kabisa kaka. Vyuo vikuu vimepoa sana. Vyombo vya habari pia. Tuendelee kupigania uhuru wa kitaaluma na uhuru wa habari!
Mi God, Naomi Klein , u left me speechless with goosebumps
What a powerful speech!
What a an amazing woman u r ♥️
Very proud moment for all of us at Center for Strategic Litigation . Massive congrats to the Editorial board led by the indomitable Issa Shivji and the whole team at CSL. All welcome to order a copy through our website at strategiclitigation.org
Issa Shivji Prof, shukrani. Nimeipenda sana barua hii kwa sababu zile za nyuma ulikuwa ukisimulia zaidi badala ya kuonyesha tunatokaje hapa. Magufuli alianzisha industrialisation. Serikali ya sasa ilivalie hili njuga.Viwanda vitatusaidia mno ktk maendeleo.Sizioni jitihada kama za wakati ule