Kuyajr1 Lanyoru(@Kuyajr1L) 's Twitter Profileg
Kuyajr1 Lanyoru

@Kuyajr1L

Human right Activist/Politician/Chadema.
Naamini Katika haki popote.

ID:1490795523258957826

calendar_today07-02-2022 21:13:38

2,1K Tweet

501 Takipçi

150 Takip Edilen

MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

: Tundu Antiphas Lissu akiwasha Makyungu vijijini, apokelewa kwa kishindo, 'Mungu wetu ni mkubwa na ni mwema sana, tumeonana, kuna watu waongo waongo kupigwa kwangu risasi, gari hii hapa'

Zaidi: youtu.be/5DhN-d91EJo

account_circle
Anuradha Mittal(@Mittaloak) 's Twitter Profile Photo

Israel has turned Rafah into hell on earth, setting a supposed “safe area' of plastic tents aflame and burning many Palestinians alive.

Stop all arms to Israel now! Call on Denmark MFA 🇩🇰 to stop its vessel Marianne Danica carrying arms to Israel now!

account_circle
António Guterres(@antonioguterres) 's Twitter Profile Photo

I condemn Israel’s actions which killed scores of innocent civilians who were only seeking shelter from this deadly conflict.

There is no safe place in Gaza.

This horror must stop.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kongole mzee MNYIKA John John kwa kutimiza sakramenti ya ndoa kama mkatoliki safi. Umetuacha pekee yetu wapweke katika chama cha mabachela. Tutafuata nyayo zako kaka.

NB; nimependa kwa mara ya kwanza kuona umevaa Zhongshan (Western fashion elements) tofauti na zile za Mao Tse-tung.

Kongole mzee @jjmnyika kwa kutimiza sakramenti ya ndoa kama mkatoliki safi. Umetuacha pekee yetu wapweke katika chama cha mabachela. Tutafuata nyayo zako kaka. NB; nimependa kwa mara ya kwanza kuona umevaa Zhongshan (Western fashion elements) tofauti na zile za Mao Tse-tung.
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Adv, Dickson Lucas Matata, Adv. Dickson Matata anagombea nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Magharibi. Kanda hii inabeba mikoa ya (Tabora, Katavi, Kigoma).

Wanachama wenzangu kanda ya Magharibi, mchagueni Dickson Lucas Matata, hamuwezi kujutia kamwe. Ni kijana wa chama, aliyebeba

Adv, Dickson Lucas Matata, @AdvMatata anagombea nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Magharibi. Kanda hii inabeba mikoa ya (Tabora, Katavi, Kigoma). Wanachama wenzangu kanda ya Magharibi, mchagueni Dickson Lucas Matata, hamuwezi kujutia kamwe. Ni kijana wa chama, aliyebeba
account_circle
Tanzania Wall Street(@Tanzaniawall) 's Twitter Profile Photo

𝐔𝐃𝐒𝐌 𝐌𝐢𝐚𝐤𝐚 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝟑𝟎 𝐛𝐢𝐥𝐚 '𝐅𝐢𝐫𝐬𝐭 𝐂𝐥𝐚𝐬𝐬'?

Mwanafunzi pekee wa Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM) Afrika kuwahi kuweka historia katika taaluma ya sheria kwa ufaulu, tafiti, machapisho ya kitaaluma n.k, ndiye Profesa kamili wa kwanza wa Sheria pale

𝐔𝐃𝐒𝐌 𝐌𝐢𝐚𝐤𝐚 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝟑𝟎 𝐛𝐢𝐥𝐚 '𝐅𝐢𝐫𝐬𝐭 𝐂𝐥𝐚𝐬𝐬'? Mwanafunzi pekee wa Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM) Afrika kuwahi kuweka historia katika taaluma ya sheria kwa ufaulu, tafiti, machapisho ya kitaaluma n.k, ndiye Profesa kamili wa kwanza wa Sheria pale
account_circle
CHADEMA NYASA(@chadema_nyasa) 's Twitter Profile Photo

'Hapo ulipo Nafasi uliyo nayo itumie sawasawa ili historia yako ikawe ni furaha kwa wote'

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe Mhe.Rose Mayemba akitoa salam za pole katika Msiba wa Mama Mzazi wa Mwenyekiti wa Baraza la wazee (BAZECHA) Wilaya ya Njombe Mzee Aldo Mlote.

account_circle
Dedan Chacha Wangwe(@DedanWangwe) 's Twitter Profile Photo

Katika Taasisi nyingi ikiwemo vyama vya Siasa, Vijana tumekuwa ni nguvu kazi muhimu katika shughuli mbalimbali. Lakini pamoja na Ukweli huo, bado Vijana tumeendelea kuwa Kundi dhaifu zaidi Kwa kuwa tumeridhia kuishi kwa Amri na Maelekezo ya watu na si kwa taratibu za Taasisi zetu

account_circle
Twaha Mwaipaya(@Twaha_Mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Nimepita kwenye Kijiji kimoja hapa Ndago Jimbo la IRAMBA Magharibi, nikakuta mzee mmoja wa matembele anatamba kucheza kilabuni nikamwambia mzee nipe mkono tushindane nimetunzwa elfu 10 😄, Tukutane Tarehe 1.6.2024 Tundu Lissu atakiwasha hapa Ndago kwa bwana Mwigulu, hamasa

account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Kama Chamanda sijui Chachatundu, whatever her name is yuko tayari kuingia barabarani kugawa uchi wake kwa sexual abusers wa watoto wadogo kwa sababu yeye hana mume, basi ajisemee mwenyewe. Asitusimee KE single. Wengi wetu tunajiheshimu. Asitudhalishe kabisa.
Stupid woman indeed.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

28-05-2013 Tanzania ilimpoteza Albert Mangwea, msanii wa muziki aliyekuwa na kipaji cha kweli.

DR. Radcliffe of Hellen Joseph Hospital in Johannesburg, South Africa listed Drug Overdose as the cause.

Hii iliniumiza zaidi katika Kifo cha Albert. Kwamba madawa ya kulevya ndiyo

account_circle
Tito Magoti, PG(@TitoMagoti) 's Twitter Profile Photo

Makonda, wewe ni mhuni, mshenzi, katili na muuwaji - UNAJUA.

Umedhulumu uhai wa watu hadi ukazuiwa kukanyaga US. Umetesa, tupa jela na kufilisi raia chungu nzima. Hatutasahau!

Hii iko hivyo - bila kujali upendeleo utakaoendelea kuupata.. Lakini mbeleko huchanika.

account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Juzi niliandika kuhusu watu wangu wa karibu walivyoni-treat vizuri ama vibaya baada ya kukuta jina langu halimo kwenye baraza la mawaziri mwaka 2020. Pamoja na kupokea pole nyingi na pongezi kwa kuandika, kuna walioendelea kubyeda na kukejeli kama ilivyo kawaida ya wanadamu. Kuna

account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

Anaitwa Lilenga Isaya Lilenga ni mkazi wa Kigoma,Mwandiga

Bwana Lilenga alikamatwa siku ya Jumamosi ya tarehe 11 -05 -2024 akiwa maeneo ya Kibirizi,Kigoma.akitokea katika shughuli zake za uvuvi.

Alikamatwa kwa mtindo wa Kutekwa na gari nyeusi

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA Anaitwa Lilenga Isaya Lilenga ni mkazi wa Kigoma,Mwandiga Bwana Lilenga alikamatwa siku ya Jumamosi ya tarehe 11 -05 -2024 akiwa maeneo ya Kibirizi,Kigoma.akitokea katika shughuli zake za uvuvi. Alikamatwa kwa mtindo wa Kutekwa na gari nyeusi
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

BASHITE ni zao la hii jamii ambayo inalipia pesa zao nyingi ili kufuatilia udhalilishaji wa watu wengine. Mnashangaa BASHITE kudhalilisha wanawake wakati mnalipia fedha kufuatlia umbea na udhalilishaji? Mnapoteza uhalali wa kukemea udhalilishaji kama mnashangilia udhalilishaji.

account_circle