Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profileg
Maria Sarungi Tsehai

@MariaSTsehai

Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,

ID:24312877

linkhttps://mariasarungitsehai.medium.com/ calendar_today14-03-2009 02:40:08

695,6K Tweets

1,2M Followers

8,2K Following

Follow People
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo tunajadili: Je Watanganyika tuko sawa na Ardhi yetu kuwa ya Muungano ?
Tumeona eneo la wamaasai yote kumegwa na kuchukuliwa na serikali ya Muungano kuwapa wawekezaji! 10% ya ardhi na hifadhi nchi nzima wanapewa waarabu kwa kisingizio cha biashara ya hewa ukaa…

Leo #MariaSpaces tunajadili: Je Watanganyika tuko sawa na Ardhi yetu kuwa ya Muungano ? Tumeona eneo la wamaasai yote kumegwa na kuchukuliwa na serikali ya Muungano kuwapa wawekezaji! 10% ya ardhi na hifadhi nchi nzima wanapewa waarabu kwa kisingizio cha biashara ya hewa ukaa…
account_circle
#Naythetrueboy(@naythetrueboy) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Hawamuwezi ata robo tu.!! Ili kummudu angalau ata kwa robo tu ilibidi chama chote na serikali yao😂🏃 angalau wangeonekana kidogo kuna kanamna wamepambana 🏃

account_circle
Joseph Oleshangay(@Oleshangay) 's Twitter Profile Photo

Tanzania sasa ni Muungano wa
1. Zanzibar
2. Tanganyika
3. UAE
4. Oman

Mapori, bandari na wanyama wetu zinatawaliwa na UAE kupitia mawakala wao. Oman nao wanafukuza vijiji nane wawe na airport ya 3 kwa ukubwa duniani.

Mshirikia mmoja aitwaye Tanganyika yeye hata jina limefichwa

account_circle
Kifefe(@AnnanMarck) 's Twitter Profile Photo

Huu ushirika ni wa AJABU kumbe rushwa kila kona mpaka covid 19 halima mdee naye ana jikakamuwa kutweet kifupi halima na genge lako ninyi ni wahujumu uchumi na kumbukeni jinai haifi

account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Ester huu ni utoto, pandisha hoja tukusikie hoja yako nini

Nchi hii imewahi kuwa na kichwaa kuliko jiwe aliyewapa Ubunge? Toka lini wewe una changamoto na wakazi wa milembe? Ambao wamekupa ubunge

Ebu jenga hoja kuhusu anachosema Lissu kuliko kuleta hizi vijembe kwamba Lissu…

account_circle
DismantleInequality(@Dismantlel) 's Twitter Profile Photo

'The dark aspects of Tanzania’s history are metastasizing, exiling the Maasai in the name of conservation once again.'

Pls read this piece by KC - 'conservation' is all too often colonial land grabbing.

atmos.earth/why-petrostate…

account_circle
Libuma(@dullabuma) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Yaani kila wanapoweka kikao wapangue hoja, ndipo spana zinazidi kuongezeka.
Macho yanawatoka kama mjusi aliyebanwa na mlango.

account_circle
Dason(@dammyG05) 's Twitter Profile Photo

Hivi na mwaka huu mama yao ataenda kufanya kizimkazi day?

Ndugu watanganyika ukisikia kizimkazi day,ujue ni mama yao anaenda kutumia kodi zetu kule kizimkaz

Mwaka jana kaweka project ya Sports Academy kwa fedha za watanganyika

Uyu chifu anatumia kodi kunufaisha kwao
Let her go

Hivi na mwaka huu mama yao ataenda kufanya kizimkazi day? Ndugu watanganyika ukisikia kizimkazi day,ujue ni mama yao anaenda kutumia kodi zetu kule kizimkaz Mwaka jana kaweka project ya Sports Academy kwa fedha za watanganyika Uyu chifu anatumia kodi kunufaisha kwao Let her go
account_circle
Désiré-Joseph Katihabwa(@DesireJosephKat) 's Twitter Profile Photo

My Ancestors were sold by Oman to the Middle East, my community, Maasai of Tanzania are losing their lands to Oman/UAE Royals, I lost respect for Tanzania President, as much as I am a pro Women in seats of power, this is the biggest betrayal that could threaten the stability of…

account_circle
Kuyajr1 Lanyoru(@Kuyajr1L) 's Twitter Profile Photo

Press Release: The Government of Tanzania Forcefully Moves the Maasai of KIA to their Native Land. Until Now They Have No Sleep, Children, And Mothers. Why is this happening on Maasailand?António Guterres Anuradha Mittal Maria Sarungi Tsehai Tundu Antiphas Lissu Susanna Nordlund 🐐 🇹🇿 Twaha Mwaipaya

Press Release: The Government of Tanzania Forcefully Moves the Maasai of KIA to their Native Land. Until Now They Have No Sleep, Children, And Mothers. Why is this happening on Maasailand?@antonioguterres @Mittaloak @MariaSTsehai @TunduALissu @SusannaN2 @Twaha_Mwaipaya
account_circle