Mr Mushi(@mrmushico) 's Twitter Profileg
Mr Mushi

@mrmushico

ID:1512519916934598667

linkhttps://www.instagram.com/mrmushico calendar_today08-04-2022 19:57:24

16,0K Tweets

1,8K Followers

1,3K Following

Confederation of Tanzania Industries (CTI)(@TanzaniaCTI) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) leo Jumanne, tarehe 21 Mei, 2024 limeshiriki katika uwasilishaji wa hotuba ya bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma.

Akiwasilisha hotuba ya bajeti, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameainisha vipaumbele vya

Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) leo Jumanne, tarehe 21 Mei, 2024 limeshiriki katika uwasilishaji wa hotuba ya bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma. Akiwasilisha hotuba ya bajeti, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameainisha vipaumbele vya
account_circle
James Munisi(@NjiwaFLow) 's Twitter Profile Photo

💨 MKOPO WA SIMU
1.SAMSUNG A04e (3GB RAM, 32GB ROM)
▪️Kianzio: 75,000
▪️Miezi 6 | Kila wiki: 12,300
▪️Miezi 12 | Kila wiki: 8,600

2.SAMSUNG A05 (4GB RAM, 64GB ROM)
▪️Kianzio: 90,000
▪️Miezi 6 | Kila wiki: 14,900
▪️Miezi 12 | Kila wiki: 10,400

💨 MKOPO WA SIMU 1.SAMSUNG A04e (3GB RAM, 32GB ROM) ▪️Kianzio: 75,000 ▪️Miezi 6 | Kila wiki: 12,300 ▪️Miezi 12 | Kila wiki: 8,600 2.SAMSUNG A05 (4GB RAM, 64GB ROM) ▪️Kianzio: 90,000 ▪️Miezi 6 | Kila wiki: 14,900 ▪️Miezi 12 | Kila wiki: 10,400
account_circle
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Jana tumeshuhudia faina ya EUROPA yenye hadhi ya juu mnoo..🙌

Hii hapa fainali nyingine.
Ni fainali ya FA CUP ambayo ni derby pia. Itakua ya kuvutia sana.

Itakua ni jumamosi,saa 11 jioni. Mechi hii utaipata ndani ya kifurushi cha POA kwa buku 10 tu. Lipia mapema.

Jana tumeshuhudia faina ya EUROPA yenye hadhi ya juu mnoo..🙌 Hii hapa fainali nyingine. Ni fainali ya FA CUP ambayo ni derby pia. Itakua ya kuvutia sana. Itakua ni jumamosi,saa 11 jioni. Mechi hii utaipata ndani ya kifurushi cha POA kwa buku 10 tu. Lipia mapema. #MfalmeWaBoma
account_circle
Sylah arts(@Pichanzurii) 's Twitter Profile Photo

Karibu nikutengenezee chupa kwa kuprint picha yoyote unayoipenda au ujumbe wa maneno 🌸

Tsh 20,000

Tunaweka picha za watu , logo au ujumbe wa maneno.
Delivery tunafanya mikoa yote

📍Sinza kumekucha
☎️ 0786445451

Delivery hadi mikoani

Karibu nikutengenezee chupa kwa kuprint picha yoyote unayoipenda au ujumbe wa maneno 🌸 Tsh 20,000 Tunaweka picha za watu , logo au ujumbe wa maneno. Delivery tunafanya mikoa yote 📍Sinza kumekucha ☎️ 0786445451 Delivery hadi mikoani
account_circle
Dream_ online shop.(@Dream_onlineshp) 's Twitter Profile Photo

Nisaidie ku Repost 🙏
.
OUTDOOR 🥾: SIZE 40-45
.
BEI: 80,000/=. badala ya 100, 000/=
.
Njoo Whatsapp chap nifanye delivery 🚚🛍️
.
wa.me/message/AQXUYZ…
.
P. S. Mkoani unapokea ndani ya masaa 24 tu 🛍️
.
MIRIAM💜 Carol Ndosi MR BEN Lubasha Jr Daktari Wa Manesi 💉💊

Nisaidie ku Repost 🙏 . OUTDOOR 🥾: SIZE 40-45 . BEI: 80,000/=. badala ya 100, 000/= . Njoo Whatsapp chap nifanye delivery 🚚🛍️ . wa.me/message/AQXUYZ… . P. S. Mkoani unapokea ndani ya masaa 24 tu 🛍️ . @MiriamMkanaka @CarolNdosi @Eric__Bernard @MarekaMalili @McinikaWaLamar
account_circle
iPhone Used Genuine (@iPhone_Usedtz) 's Twitter Profile Photo

Samsung S22 Ultra

256GB|Ram 12GB
DualSim
Tsh 1,350,000/= tzs

NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Exchange & Top up allowed
📞/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST ⛓️‍💥🔗🖇️

Samsung S22 Ultra 256GB|Ram 12GB DualSim Tsh 1,350,000/= tzs NB:Mikoani tunatuma malipo Baada ya kupokea Exchange & Top up allowed 📞/Whatsapp 0683678977 KINDLY REPOST ⛓️‍💥🔗🖇️
account_circle
Gadgets Bomba(@Isaacchengula) 's Twitter Profile Photo

MacBook Pro (13-inch, 2017)

Technical Specifications
Space Gray
13.3-inch Retina display
Touch Bar & Touch ID
3.1GHz Dual-Core Intel Core i5
512GB SSD
8GB RAM
Intel Iris Plus Graphics 650
Four (4) Thunderbolt 3 (USB-C) ports
Backlit Magic Keyboard

Price 1,850,000Tsh

MacBook Pro (13-inch, 2017) Technical Specifications Space Gray 13.3-inch Retina display Touch Bar & Touch ID 3.1GHz Dual-Core Intel Core i5 512GB SSD 8GB RAM Intel Iris Plus Graphics 650 Four (4) Thunderbolt 3 (USB-C) ports Backlit Magic Keyboard Price 1,850,000Tsh
account_circle
Sylah arts(@Pichanzurii) 's Twitter Profile Photo

Alhamisi ya leo usikose nzuri kutoka kwangu kwa ajili ya ukumbusho na zawadi 🌸

A4 size
Tsh 7,000

Chagua picha unazozipenda nitumie whatsapp au dm nikutengenezee leo

📍Sinza kumekucha
☎️ 0786445451

Delivery nafanya mikoa yote

Alhamisi ya leo usikose #pichambao nzuri kutoka kwangu kwa ajili ya ukumbusho na zawadi 🌸 A4 size Tsh 7,000 Chagua picha unazozipenda nitumie whatsapp au dm nikutengenezee leo 📍Sinza kumekucha ☎️ 0786445451 Delivery nafanya mikoa yote
account_circle
finah carpets🥰(@Sarafina7420) 's Twitter Profile Photo

Karibu nikutengenezee mazulia ya mlangoni/ pembeni ya kitanda

-YA KAWAIDA 20k
-YENYE MAANDISHI / LOGO 30k

📍Dar, mkoani natuma

0755 693 113

Kindly Repost

Karibu nikutengenezee mazulia ya mlangoni/ pembeni ya kitanda -YA KAWAIDA 20k -YENYE MAANDISHI / LOGO 30k 📍Dar, mkoani natuma 0755 693 113 Kindly Repost
account_circle
Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Chombo hii hapa mchawi mafuta tu ⛽️

Kamatia chombo chako, Songesha miamala mingi zaidi kupitia CRDB SimBanking App, Lipa bili zako zote na ushinde zawadi kabambe Bodaboda au bajaji kila mwezi.

Piga *150*03# au Pakua SimBanking App Play Store au App Store 📱

Chombo hii hapa mchawi mafuta tu ⛽️ Kamatia chombo chako, Songesha miamala mingi zaidi kupitia CRDB SimBanking App, Lipa bili zako zote na ushinde zawadi kabambe Bodaboda au bajaji kila mwezi. Piga *150*03# au Pakua SimBanking App Play Store au App Store 📱 #SwahibaLanguLako
account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Serikali inatakiwa kuondoa kodi kwenye pedi na kuhakikisha inafanya ufuatiliaji wa uuzwaji wa bei ambayo ni rafiki kwa kila msichana wa kitanzania.

account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Asilimia 60 ya wsichana Tanzania hawawezi kumudu gharama za taulo za kike (pedi) na kama serikali inaweza kutoa kondomu bure kwa nini wasitoe na pedi ? Niwakumbushe Hedhi salama inaanza na wewe na mimi Ungana nami kusign pettion


bluefindigital.co.tz/msichana/

Asilimia 60 ya wsichana Tanzania hawawezi kumudu gharama za taulo za kike (pedi) na kama serikali inaweza kutoa kondomu bure kwa nini wasitoe na pedi ? Niwakumbushe Hedhi salama inaanza na wewe na mimi Ungana nami kusign pettion #PediBure #PediBilaKodi bluefindigital.co.tz/msichana/
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Msichana akiwa na mazingira sahihi husoma bila vyema

Tumuwezesha kwa kuhitaji upatikanaji wa ambayo ni inafanikiwa, Weka sahihi yako hapa kukubaliana bluefindigital.co.tz/msichana/

Msichana akiwa na mazingira sahihi husoma bila vyema Tumuwezesha kwa kuhitaji upatikanaji wa #PediBure ambayo ni #PediBilaKodi inafanikiwa, Weka sahihi yako hapa kukubaliana bluefindigital.co.tz/msichana/
account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Wasichana hukosa Hadi siku Tano za masomo kutokana na kukosa Pedi wakati wa masomo.

Hii inachangiwa na gharama kubwa na wazazi wengine kushindwa kumudu.

Join movement kupiga kura:bluefindigital.co.tz/msichana/


Tito Magoti, PG wakili let's join this movement

Wasichana hukosa Hadi siku Tano za masomo kutokana na kukosa Pedi wakati wa masomo. Hii inachangiwa na gharama kubwa na wazazi wengine kushindwa kumudu. Join movement kupiga kura:bluefindigital.co.tz/msichana/ #PediBilaKodi #PediBure @TitoMagoti wakili let's join this movement
account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Upatikanaji wa pedi mashuleni utasaidia kupunguza utoro wa wasichana kutokana na kukosa pedi za kujistiri kipindi cha hedhi, ili kufanikisha hili tafadhali saini hapa kuishinikiza serikali kutoa pedi bure bluefindigital.co.tz/msichana/

Upatikanaji wa pedi mashuleni utasaidia kupunguza utoro wa wasichana kutokana na kukosa pedi za kujistiri kipindi cha hedhi, ili kufanikisha hili tafadhali saini hapa kuishinikiza serikali kutoa pedi bure bluefindigital.co.tz/msichana/ #PediBure #PediBilaKodi
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Wasichana wenye umri miaka 9-19 wa mikoa ya kaskazini Tanzania huhitaji takribani Tsh 4,541 - Tsh 6,677 kupata taulo za kike kupata taulo za kike kutokana na kodi

Shiriki kuomba na zipatikane ili kutatua tatizo

Jaza pettion hii bluefindigital.co.tz/msichana/

Wasichana wenye umri miaka 9-19 wa mikoa ya kaskazini Tanzania huhitaji takribani Tsh 4,541 - Tsh 6,677 kupata taulo za kike kupata taulo za kike kutokana na kodi Shiriki kuomba #PediBilaKodi na #PediBure zipatikane ili kutatua tatizo Jaza pettion hii bluefindigital.co.tz/msichana/
account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Wengi tumeshuhudia namna wasichana wakikosa ujasiri wakiwa katika kipindi cha hedhi kutokana na kujisitiri kwa vifaa visivyo sahihi na salama. Ni jukumu letu kuhakikisha serikali inaondoa kodi kwenye pedi ili ziuzwe kwa bei rahisi.

Wengi tumeshuhudia namna wasichana wakikosa ujasiri wakiwa katika kipindi cha hedhi kutokana na kujisitiri kwa vifaa visivyo sahihi na salama. Ni jukumu letu kuhakikisha serikali inaondoa kodi kwenye pedi ili ziuzwe kwa bei rahisi. #PediBure #PediBilaKodi
account_circle