SAMKICHEKO(@samuelmway) 's Twitter Profileg
SAMKICHEKO

@samuelmway

Mtu mpole ๐Ÿ‘ค pia ni kijana mwaminifu kweli kweli || meme lord || @ChelseaFC fan || visit my facebook page https://t.co/RfWTLUyBoI.

ID:1383150761941606402

calendar_today16-04-2021 20:10:38

93,9K Tweets

185,8K Followers

1,5K Following

Presenter Noah(@PresenterNoah) 's Twitter Profile Photo

'Masikini hana nafasi Mbili, Masikini ana nafasi Moja tu na ukiipata hakikisha unaonesha uwezo wako maana hautakua na nafasi nyingine'

Farhan Kihamu 2024

account_circle
The ChandO(@SadickTusia) 's Twitter Profile Photo

Leo tumeongea mengi sana kijiweni.

Washikaji wanasema Turudishe mboga nyumbani sio magonjwa..

Mtaa unaumwa na tusipimane kwa macho.

Bado safari yetu ni ndefu sana kwenye utafutaji, tusiishie njiani..

Wana wanasema kabla hatujasifiwa na mtaa kwanza nyumbani wafurahi.๐Ÿ‘‡

Leo tumeongea mengi sana kijiweni. Washikaji wanasema Turudishe mboga nyumbani sio magonjwa.. Mtaa unaumwa na tusipimane kwa macho. Bado safari yetu ni ndefu sana kwenye utafutaji, tusiishie njiani.. Wana wanasema kabla hatujasifiwa na mtaa kwanza nyumbani wafurahi.๐Ÿ‘‡
account_circle
Benson Rayson(@BensonRusizi_) 's Twitter Profile Photo

Kufanikiwa, lazima uwe mvumilivu. Kuvumilia haina maana kusubiria bila kufanya kitu chochote. Umaanisha kufanya kazi kwa bidii pindi ukisubiri na kuamini kuwa kile ulichopangiwa kuja kwako kita kuja tu kwenye njia yako. Amini. Tumaini. Usikate tamaa.

account_circle