Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profileg
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@wizara_afyatz

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA

ID:3044753523

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today19-02-2015 04:54:19

5,8K Tweets

231,7K Followers

134 Following

Follow People
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA KUGHARAMIA MATIBABU YA WATOTO 100 WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI

Na WAF - Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan atagharimia matibabu ya upasuaji na utengamao kwa watoto 100 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

RAIS SAMIA KUGHARAMIA MATIBABU YA WATOTO 100 WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI Na WAF - Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan atagharimia matibabu ya upasuaji na utengamao kwa watoto 100 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Maadhimisho ya wiki ya chanjo na kuanza kutolewa kwa dozi moja ya chanjo ya 'HPV' kwa mabinti wenye miaka 9 hadi 14 dhidi ya Saratani ya Mlango wa kizazi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Maadhimisho ya wiki ya chanjo na kuanza kutolewa kwa dozi moja ya chanjo ya 'HPV' kwa mabinti wenye miaka 9 hadi 14 dhidi ya Saratani ya Mlango wa kizazi
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WATUMISHI 108 SEKTA YA AFYA WAPIGWA MSASA KUKABILIANA NA DHARURA ZA UZAZI

Na WAF- Mara

Watumishi 108 wa Afya kutoka kwenye vituo vya Afya vipatavyo 25 kati ya 37 vinavyotoa huduma ya upasuaji wa mtoto, mkoani Mara wamejengewa uwezo maalum kwa ajili yakukabiliana na dharura za

WATUMISHI 108 SEKTA YA AFYA WAPIGWA MSASA KUKABILIANA NA DHARURA ZA UZAZI Na WAF- Mara Watumishi 108 wa Afya kutoka kwenye vituo vya Afya vipatavyo 25 kati ya 37 vinavyotoa huduma ya upasuaji wa mtoto, mkoani Mara wamejengewa uwezo maalum kwa ajili yakukabiliana na dharura za
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WATANZANIA TUWEKEZE KWENYE KINGA ILI KUPUNGUZA GHARAMA ZA MATIBABU - WAZIRI UMMY

Na WAF - Dar Es Salaam

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuwekeza zaidi kwenye kinga na sio tiba ili kupunguza gharama za matibabu pamoja na kuepuka magonjwa Yasiyoambukiza

WATANZANIA TUWEKEZE KWENYE KINGA ILI KUPUNGUZA GHARAMA ZA MATIBABU - WAZIRI UMMY Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuwekeza zaidi kwenye kinga na sio tiba ili kupunguza gharama za matibabu pamoja na kuepuka magonjwa Yasiyoambukiza
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP leo Aprili 20, 2024 akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe, Mhe. Salma Kikwete (MB) pamoja na viongozi wengine kutoka Wizara ya Afya kwenye matembezi ya harambee ya kuchangia ujenzi wa Hospitali ya kina mama ya

Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu leo Aprili 20, 2024 akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe, Mhe. Salma Kikwete (MB) pamoja na viongozi wengine kutoka Wizara ya Afya kwenye matembezi ya harambee ya kuchangia ujenzi wa Hospitali ya kina mama ya
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WANANCHI JIRIDHISHENI NA UHALALI WA VITUO VYA HUDUMA ZA MACHO NA MIWANI TIBA

Na WAF - DAR ES SALAAM

Serikali imewataka wanachi kuchukua tahadhari ya huduma za Macho na Miwani tiba zinazo tolewa ili kuepuka madhara ambayo yanaweza kumkumba mtu ikiwepo kupoteza uoni au hata

WANANCHI JIRIDHISHENI NA UHALALI WA VITUO VYA HUDUMA ZA MACHO NA MIWANI TIBA Na WAF - DAR ES SALAAM Serikali imewataka wanachi kuchukua tahadhari ya huduma za Macho na Miwani tiba zinazo tolewa ili kuepuka madhara ambayo yanaweza kumkumba mtu ikiwepo kupoteza uoni au hata
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa Jiwe ndani ya kibofu cha Mkojo kwa Mwanamke mwenye umri wa miaka 48.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hospitalini hapo jiwe hilo lenye uzito wa Gramu 800 lililomsumbua mhusuka

Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa Jiwe ndani ya kibofu cha Mkojo kwa Mwanamke mwenye umri wa miaka 48. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hospitalini hapo jiwe hilo lenye uzito wa Gramu 800 lililomsumbua mhusuka
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUTOKOMEZA SARATANI

Na. WAF - Dodoma

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau ikiwemo Taasisi ya Shujaa cancer Foundation katika kutokomeza ugonjwa wa Saratani pamoja na kuelimisha jamii kwa kuwa ugonjwa huo unatibika.

TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUTOKOMEZA SARATANI Na. WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau ikiwemo Taasisi ya Shujaa cancer Foundation katika kutokomeza ugonjwa wa Saratani pamoja na kuelimisha jamii kwa kuwa ugonjwa huo unatibika.
account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

*โ€SOTE TUNAJUA KWAMBA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI NDIO KITOVU CHA UMAHIRI KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA NCHINI TANGU TUPATE UHURUโ€*

Dr. Hemed Nyembea
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Tiba Wizara ya Afya.Ummy Mwalimu, MP Dr. Hamisi Kigwangalla Hilda Newton

account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel leo tarehe 15 Aprili, 2024
wamekubaliana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Kimatifa EGPAF Dkt. Sajida kuendelea kuimarisha afua za UKIMWI, Kifua kikuu na uzazi wa mpango

Wakati wa mazungumzo yao Viongozi hao yaligusa pia suala la

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel leo tarehe 15 Aprili, 2024 wamekubaliana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Kimatifa EGPAF Dkt. Sajida kuendelea kuimarisha afua za UKIMWI, Kifua kikuu na uzazi wa mpango Wakati wa mazungumzo yao Viongozi hao yaligusa pia suala la
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

HOSPITALI MOUNT MERU YATAKIWA KUIMARISHA ULEZI VITUO VYA AFYA

Na WAF, Arusha

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, ametoa wito kwa uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, kuimarisha ulezi wa vituo vyote vinavyotoa huduma za afya ikihusisha huduma

HOSPITALI MOUNT MERU YATAKIWA KUIMARISHA ULEZI VITUO VYA AFYA Na WAF, Arusha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, ametoa wito kwa uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, kuimarisha ulezi wa vituo vyote vinavyotoa huduma za afya ikihusisha huduma
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TEHAMA IWE KICHOCHEO KWENYE TATHMINI NA UFUATILIAJI WA TAKWIMU - DKT. JINGU

Na WAF, ARUSHA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema Matumizi na Teknojia ya habari iwe ni kichocheo cha kufanya ufuatiliaji na tathmini ili kupata takwimu sahihi zitakazo changia

TEHAMA IWE KICHOCHEO KWENYE TATHMINI NA UFUATILIAJI WA TAKWIMU - DKT. JINGU Na WAF, ARUSHA Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema Matumizi na Teknojia ya habari iwe ni kichocheo cha kufanya ufuatiliaji na tathmini ili kupata takwimu sahihi zitakazo changia
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

VIONGOZI WA DINI WAZINDUA JUMBE KUKABILIANA NA MALARIA NCHINI

Na WAF, ARUSHA

Viongozi wa dini nchini wakiongozwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Alhaj Abubakar Zuber na rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wameongoza ujumbe wa viongozi wa dini kwenye zoezi

VIONGOZI WA DINI WAZINDUA JUMBE KUKABILIANA NA MALARIA NCHINI Na WAF, ARUSHA Viongozi wa dini nchini wakiongozwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Alhaj Abubakar Zuber na rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wameongoza ujumbe wa viongozi wa dini kwenye zoezi
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

AJENDA YA KUTOKOMEZA MALARIA, RAIS SAMIA AMEONESHA IMANI - DKT. KIKWETE

Na WAF, Arusha

Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonesha imani kwa viongozi aliowateua kusimamia baraza

AJENDA YA KUTOKOMEZA MALARIA, RAIS SAMIA AMEONESHA IMANI - DKT. KIKWETE Na WAF, Arusha Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonesha imani kwa viongozi aliowateua kusimamia baraza
account_circle
taasisiyamifupa_MOI(@TaasisiyaMifupa) 's Twitter Profile Photo

Mfanyabiashara Mohamed Dewji (MO Dewji) leo 13/04/2024 ametembelea Taasisi ya MOI ili kuwafariji wazazi wenye watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi waliojitokeza leo katika kliniki maalum ya watoto hao ambapo wenye sifa watafanyiwa upasuaji, Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mfanyabiashara Mohamed Dewji (MO Dewji) leo 13/04/2024 ametembelea Taasisi ya MOI ili kuwafariji wazazi wenye watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi waliojitokeza leo katika kliniki maalum ya watoto hao ambapo wenye sifa watafanyiwa upasuaji, @wizara_afyatz
account_circle