Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
@wizara_afyatz
Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA
ID:3044753523
http://www.moh.go.tz 19-02-2015 04:54:19
5,9K Tweets
232,4K Followers
134 Following
Follow People
Fanya Mazoezi, linda Afya yako. Njoo upige tizi na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, MP Jumamosi Mei 4, 2024 kuanzia Saa 12 Alfajiri katika viwanja vya Coco Beach kuelekea Daraja la Tanzanite mpaka Round About ya Aga Khan na kurudi Coco Beach. #MtuniAfya …
Hii ni kubwa kuliko…! Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa na mafunzo elekezi kwa wataalam waliopo kwenye Hospitali zote 184 za Halmashauri za Wilaya, haijawahi tokea.
Chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Historia inaandikwa kupitia…
Afya tunasonga mbele na Huduma za Matibabu ya Ubingwa bobezi nchini. Asante Rais Samia kwa kutuwezesha. Asante Wataalam wetu wa Taasisi ya Moyo-JKCI kwa huduma bora. Tusibweteke. Tuendelee kuboresha zaidi #KaziIendeleeNaDktSSH #TibaUtaliiTZ
Fanya Mazoezi, linda Afya yako. Njoo upige tizi na Waziri Mkuu @kassim_m_majaliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, MP Jumamosi Mei 4, 2024 kuanzia Saa 12 Alfajiri katika viwanja vya Coco Beach kuelekea Daraja la Tanzanite mpaka Round About ya Aga Khan na kurudi Coco Beach. #MtuniAfya …
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP leo Mei 3, 2024 akiwa katika kikao cha majadiliano ya ndani kabla ya kuelekea kwenye Mkutano wa 24 wa Baraza la Mawaziri wa Kisekta wa Afya, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika Jijini Dar Es Salaam.
Mkutano huo una lengo la kupitia na…
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimy amebainisha kuwa takribani wagonjwa wapya wa Saratani 40,000 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu 27,000 wenye Saratani hufariki dunia nchini Tanzania.
Waziri Ummy Mwalimu, MP amesema hayo leo Mei 2, 2024 kwenye uzinduzi wa jengo la huduma…
Fanya Mazoezi, linda Afya yako. Njoo upige tizi na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, MP Jumamosi Mei 4, 2024 kuanzia Saa 12 Alfajiri katika viwanja vya Coco Beach kuelekea Daraja la Tanzanite mpaka Round About ya Aga Khan na kurudi Coco Beach. #MtuniAfya …