Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profileg
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

@wizara_afyatz

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA

ID:3044753523

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today19-02-2015 04:54:19

5,9K Tweets

232,4K Followers

134 Following

Follow People
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Fanya Mazoezi, linda Afya yako. Njoo upige tizi na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, MP Jumamosi Mei 4, 2024 kuanzia Saa 12 Alfajiri katika viwanja vya Coco Beach kuelekea Daraja la Tanzanite mpaka Round About ya Aga Khan na kurudi Coco Beach. …

Fanya Mazoezi, linda Afya yako. Njoo upige tizi na Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ na Waziri wa Afya @ummymwalimu Jumamosi Mei 4, 2024 kuanzia Saa 12 Alfajiri katika viwanja vya Coco Beach kuelekea Daraja la Tanzanite mpaka Round About ya Aga Khan na kurudi Coco Beach. #MtuniAfya…
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Hii ni kubwa kuliko…! Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa na mafunzo elekezi kwa wataalam waliopo kwenye Hospitali zote 184 za Halmashauri za Wilaya, haijawahi tokea.

Chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Historia inaandikwa kupitia…

Hii ni kubwa kuliko…! Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa na mafunzo elekezi kwa wataalam waliopo kwenye Hospitali zote 184 za Halmashauri za Wilaya, haijawahi tokea. Chini ya Uongozi wa Rais @SuluhuSamia Historia inaandikwa kupitia…
account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

Katika kuunga mkono juhudi za uboreshaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili watumishi wanaotoa huduma katika Jengo la Mwaisela wamezindua kombe maalum la Janabi Cup lenye lengo la kutoa hamasa na kuongeza chachu ya utoaji huduma bora hospitalini hapo.

Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Afya tunasonga mbele na Huduma za Matibabu ya Ubingwa bobezi nchini. Asante Rais Samia kwa kutuwezesha. Asante Wataalam wetu wa Taasisi ya Moyo-JKCI kwa huduma bora. Tusibweteke. Tuendelee kuboresha zaidi

account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Fanya Mazoezi, linda Afya yako. Njoo upige tizi na Waziri Mkuu @kassim_m_majaliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, MP Jumamosi Mei 4, 2024 kuanzia Saa 12 Alfajiri katika viwanja vya Coco Beach kuelekea Daraja la Tanzanite mpaka Round About ya Aga Khan na kurudi Coco Beach. …

account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YAPENDEKEZA KUNZISHWA KWA VITUO VIWILI VYA UMAHIRI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na WAF - Dar Es Salaam

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa mapendekezo kwa Baraza la Mawaziri wa Kisekta wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) lipitishe maombi ya Tanzania…

TANZANIA YAPENDEKEZA KUNZISHWA KWA VITUO VIWILI VYA UMAHIRI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI Na WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa mapendekezo kwa Baraza la Mawaziri wa Kisekta wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) lipitishe maombi ya Tanzania…
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP leo Mei 3, 2024 akiwa katika kikao cha majadiliano ya ndani kabla ya kuelekea kwenye Mkutano wa 24 wa Baraza la Mawaziri wa Kisekta wa Afya, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika Jijini Dar Es Salaam.

Mkutano huo una lengo la kupitia na…

Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu leo Mei 3, 2024 akiwa katika kikao cha majadiliano ya ndani kabla ya kuelekea kwenye Mkutano wa 24 wa Baraza la Mawaziri wa Kisekta wa Afya, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika Jijini Dar Es Salaam. Mkutano huo una lengo la kupitia na…
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

MADAKTARI 1,109 KUNUFAIKA NA UFADHILI WA RAIS SAMIA KATIKA MASOMO YA UBINGWA BOBEZI 2023/24

Na WAF - Dar Es Salaam

Dkt. Samia Super-Specialized scholarship Programme imetoa nafasi za ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi ambapo kwa mwaka wa masomo 2023/2024, jumla ya…

MADAKTARI 1,109 KUNUFAIKA NA UFADHILI WA RAIS SAMIA KATIKA MASOMO YA UBINGWA BOBEZI 2023/24 Na WAF - Dar Es Salaam Dkt. Samia Super-Specialized scholarship Programme imetoa nafasi za ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi ambapo kwa mwaka wa masomo 2023/2024, jumla ya…
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimy amebainisha kuwa takribani wagonjwa wapya wa Saratani 40,000 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu 27,000 wenye Saratani hufariki dunia nchini Tanzania.

Waziri Ummy Mwalimu, MP amesema hayo leo Mei 2, 2024 kwenye uzinduzi wa jengo la huduma…

account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Fanya Mazoezi, linda Afya yako. Njoo upige tizi na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, MP Jumamosi Mei 4, 2024 kuanzia Saa 12 Alfajiri katika viwanja vya Coco Beach kuelekea Daraja la Tanzanite mpaka Round About ya Aga Khan na kurudi Coco Beach. …

Fanya Mazoezi, linda Afya yako. Njoo upige tizi na Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ na Waziri wa Afya @ummymwalimu Jumamosi Mei 4, 2024 kuanzia Saa 12 Alfajiri katika viwanja vya Coco Beach kuelekea Daraja la Tanzanite mpaka Round About ya Aga Khan na kurudi Coco Beach. #MtuniAfya…
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA SARATANI NCHINI - DKT. BITEKO

Na WAF - Dar Es Salaam

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za Saratani na vifaa tiba ili kutanua wigo wa huduma…

SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA SARATANI NCHINI - DKT. BITEKO Na WAF - Dar Es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za Saratani na vifaa tiba ili kutanua wigo wa huduma…
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WAGONJWA WAPYA WA SARATANI 40 ELFU HUGUNDULIKA KILA MWAKA, VIFO 27 ELFU

Na WAF - Dar Es Salaam

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takribani wagonjwa wapya wa Saratani 40,000 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu 27,000 wenye Saratani hufariki dunia…

WAGONJWA WAPYA WA SARATANI 40 ELFU HUGUNDULIKA KILA MWAKA, VIFO 27 ELFU Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takribani wagonjwa wapya wa Saratani 40,000 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu 27,000 wenye Saratani hufariki dunia…
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema kumekuwa na mwamko wa watu, familia na vikundi vya mazoezi ambao hufanya mazoezi barabarani katika maeneo mbalimbali Jiji la Dar Es Salaam hivyo Serikali imeona ni vyema kuunga mkono juhudi hizo na…

account_circle