Gwangway Ole yohani(@gwangwayyohani) 's Twitter Profileg
Gwangway Ole yohani

@gwangwayyohani

Investigative Journalist/ Freelance journalist/Digital storyteller/
4 Times Winner of Excellence of Journalism Awards in Tanzania (EJAT)

ID:1496747852764225538

calendar_today24-02-2022 07:25:33

1,4K Tweets

3,4K Followers

227 Following

Follow People
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจโ€ผ๏ธMATOKEOโ€ผ๏ธ BEI YA SUKARI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Nashukuru wote walioshiriki kupitia Twitter na Instagram kujibu swali kuhusu bei ya sukari mtaani ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Katika majibu yote nimechukua 211 ambayo yalikuwa na bei na nyingine yenye mkoa au wilaya pia

1๏ธโƒฃGraph 01
๐Ÿ‘‰๐ŸฝInaonyesha utofauti mkubwa

๐Ÿšจโ€ผ๏ธMATOKEOโ€ผ๏ธ BEI YA SUKARI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #Tanzania Nashukuru wote walioshiriki kupitia Twitter na Instagram kujibu swali kuhusu bei ya sukari mtaani ๐Ÿ™๐Ÿฝ Katika majibu yote nimechukua 211 ambayo yalikuwa na bei na nyingine yenye mkoa au wilaya pia 1๏ธโƒฃGraph 01 ๐Ÿ‘‰๐ŸฝInaonyesha utofauti mkubwa
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday Mwalimu Nyerere
We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa

Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere! Leo ndo ilitakiwa iwe

Archive: Nyerere inspecting a guard of honor in London on an

Happy birthday Mwalimu Nyerere #Tanzania We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere! Leo ndo ilitakiwa iwe #NyerereDay Archive: Nyerere inspecting a guard of honor in London on an
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐Ÿšจ โ€ผ๏ธ
Traditional leaders of the Maasai have denied the fake news trying to portray the situation in Ngorongoro as voluntary relocation
Embarassing methods by Samia Suluhu govt!
The mask is off and the repression is now visible

๐Ÿšจ๐Ÿšจ#Tanzania โ€ผ๏ธ Traditional leaders of the Maasai have denied the fake news trying to portray the situation in Ngorongoro as voluntary relocation Embarassing methods by @SuluhuSamia govt! The mask is off and the repression is now visible #IStandWithTheMaasai
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Environmental Justice Foundation | Wimbi la udhalimu: Unyonyaji na uvuvi wa meli za China ejfoundation.org/reports/wimbi-โ€ฆ

account_circle
Gwangway Ole yohani(@gwangwayyohani) 's Twitter Profile Photo

NGORONGORO TENA

Ninapewa taarifa kutoka Ngorongoro. Serikali ya Tanzania inasuka Malaigwanan feki ili kuhalalisha uporaji wa ardhi ya Wamasai. Sasa Malaigwanan wamekataa huo utapeli. Hawako tayari kuondoka kwenye ardhi yao. Huu ndio msimamo wao. Vyombo vya habari vinalaumiwa.

NGORONGORO TENA Ninapewa taarifa kutoka Ngorongoro. Serikali ya Tanzania inasuka Malaigwanan feki ili kuhalalisha uporaji wa ardhi ya Wamasai. Sasa Malaigwanan wamekataa huo utapeli. Hawako tayari kuondoka kwenye ardhi yao. Huu ndio msimamo wao. Vyombo vya habari vinalaumiwa.
account_circle
Gwangway Ole yohani(@gwangwayyohani) 's Twitter Profile Photo

Shirika la Environmental Justice Foundation EJF limetoa ripoti yake ya jinsi meli za China zinavyofanya uvuvi haramu katika Ukanda wa SWIO Unaojumuisha nchi za Tanzania, Somalia, Msumbiji, Madagascar, Mauritius, Comoro na Ushelisheli. TUNAPIGWA PAKUBWA
youtu.be/-mJXsRvXpHA?siโ€ฆ

account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?

Edison Myinga(@EdisonMyinga1) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday Mjumbe wa kamati kuu, mbunge wa mioyo ya Wana Isiman Mhe. Patrick Ole Sosopi .
Tunakuombea kheri Mungu akujaalie uishi miaka mingi kwaajil ya watanzania.. ๐ŸซถโœŒ๏ธ๐Ÿ’ช

Happy birthday Mjumbe wa kamati kuu, mbunge wa mioyo ya Wana Isiman Mhe. @PatricOleSosopi . Tunakuombea kheri Mungu akujaalie uishi miaka mingi kwaajil ya watanzania.. #KatibaMpya ๐ŸซถโœŒ๏ธ๐Ÿ’ช
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐Ÿšจ โ€ผ๏ธMUHIMU SOMA ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
More on the Maasai land grabโ€ผ๏ธ God help the Maasai from Samia Suluhu and her greedy friends!
Hotels are planned all across Arusha at the expense of the Maasai List of planned hotel development below ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Mungu awasaidie waMaasai ๐Ÿฅฒ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Mnakumbuka

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ โ€ผ๏ธ
Samia Suluhu is handing out 5,000 tshs to women calling it โ€œaidโ€ (itโ€™s corruption)
The women are upset as they spent more on fare to get there
The โ€œreformistโ€ is bribing women to gain some votes!! ๐Ÿ™„

Ila kuamini CCM hii ya sasa yataka moyo

account_circle
Gwangway Ole yohani(@gwangwayyohani) 's Twitter Profile Photo

Kwa mtu yeyote anayeamini lengo la Al Ahly ni kuonyesha uwanja, basi aulize photographer yeyote. Ujumbe kwenye hii picha ni nini? Al Ahly wanatoa kejeli kuwa karibu na pembezoni mwa uwanja nyumba zilizopo zinatangaza umaskini unaottisha. YOU CAN TELL THE KIND OF LEADERS WE HAVE

Tuko zetu serious kwa kauli za viongozi kuhusu kero za Wananchi kama Umeme, Huduma za afya, Maji na namna ya kumaliza, kumbe viongozi wanafanya utani! Uko zako unasikia 'Rais ana nia njema,' kumbe ni utani wao ๐Ÿ˜€. Unasikia 'tunapamba na rushwa' unapata matumaini kumbe ni utani

Tuko zetu serious kwa kauli za viongozi kuhusu kero za Wananchi kama Umeme, Huduma za afya, Maji na namna ya kumaliza, kumbe viongozi wanafanya utani! Uko zako unasikia 'Rais ana nia njema,' kumbe ni utani wao ๐Ÿ˜€. Unasikia 'tunapamba na rushwa' unapata matumaini kumbe ni utani
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday my brother from another father and another mother Think Different ๐ŸŽ‰

Mungu aendelee kukusimamia katika yote, akukinge na waovu na wenye husda, akujalie mafanikio mengi na maisha marefu ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Wishing you good health, loads of success and a long life โœŠ๐Ÿฝ

Happy birthday my brother from another father and another mother @lifeofmshaba ๐ŸŽ‰ Mungu aendelee kukusimamia katika yote, akukinge na waovu na wenye husda, akujalie mafanikio mengi na maisha marefu ๐Ÿ™๐Ÿฝ Wishing you good health, loads of success and a long life โœŠ๐Ÿฝ #ChangeTanzania
account_circle
Gwangway Ole yohani(@gwangwayyohani) 's Twitter Profile Photo

Hizi chaguzi za marudio ni tafsiri ya mifumo na viongozi tulionao. Wanavunja sheria na katiba. Hawaheshimu chochote. Uchaguzi serikali za mitaa utakuwa hivi hivi, na uchaguzi Mkuu 2025 utakuwa hivi. Chama tawala kinafurahia kunyanyasa na kutesa. Mipango yote ni haramu.

Kwahiyo kwa kifupi sisi tunanunua magoli huku watoto mashuleni wanakufa na utapiamlo? Ndio maana tunaletewa hadi mchele wa virutubisho? Kwahiyo kelele zote sisi tumeshindwa kuzalisha chakula kwa ajili ya watoto wetu? Mhe. Bashe looks innocent!! Mzee wa 'ka NGO flani'