Maria Sarungi Tsehai
@MariaSTsehai
Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
ID:24312877
https://mariasarungitsehai.medium.com/ 14-03-2009 02:40:08
695,6K Tweet
1,2M Takipçi
8,2K Takip Edilen
Follow People
Leo #MariaSpaces tunajadili: Je Watanganyika tuko sawa na Ardhi yetu kuwa ya Muungano ?
Tumeona eneo la wamaasai yote kumegwa na kuchukuliwa na serikali ya Muungano kuwapa wawekezaji! 10% ya ardhi na hifadhi nchi nzima wanapewa waarabu kwa kisingizio cha biashara ya hewa ukaa…
Maria Sarungi Tsehai Hawamuwezi ata robo tu.!! Ili kummudu angalau ata kwa robo tu ilibidi chama chote na serikali yao😂🏃 angalau wangeonekana kidogo kuna kanamna wamepambana 🏃
Maria Sarungi Tsehai Leo ni Raha sana tunapumzika Kwa amani usiku wa Leo tukuendelea vizuri .
Maria Sarungi Tsehai Leo kawanyoosha mpaka Dr slaa katajwa, hana unafiki kabisa mtu huyu.
Maria Sarungi Tsehai Yaani kila wanapoweka kikao wapangue hoja, ndipo spana zinazidi kuongezeka.
Macho yanawatoka kama mjusi aliyebanwa na mlango.
Energy giants eye Africa for profit, leaving devastation in their wake. #NeoColonialism #HumanRightsAbuses
Africa is not a playground for corporate greed. #StopPlanetWreckingProjects #StopEACOP
GreenFaith Africa StopEACOP Meryne Warah Zaki Mamdoo 350 Africa AFIEGO BankTrack
Press Release: The Government of Tanzania Forcefully Moves the Maasai of KIA to their Native Land. Until Now They Have No Sleep, Children, And Mothers. Why is this happening on Maasailand?António Guterres Anuradha Mittal Maria Sarungi Tsehai Tundu Antiphas Lissu Susanna Nordlund 🐐 🇹🇿 Twaha Mwaipaya